Dillemma!

Dillemma!

sex inaenda na umri.... itafika wakati utasahau kama mna vifanyio. tafta anaekupa furaha na amani ya roho. achana na hizo bao unazopigishwa kitandani. maisha ni zaidi ya sex.
Naam
 
sure kabisa na huwa natafakari na kuamua kumuacha kwa % percent but.. but when i think of sex i just find myself crying because kwa ufahamu wangu he is mkunaji zaidi ya wote niliowahi kuwa nao uuuh..
Duuh!!
 
Kwa mtaji huu wadada mtaendelea kuwapikia na kuwafulia boxer wanaume za watu hadi mzeeke! Inakuaje mwanamke anakubali kuishi na mtu ambaye siye mumewe, tena ukiwa hutambuliwi kwao!! emotional love itawamaliza sana.
We endelea kufua vyupi vya wanaume huku ukijifanya humpendi na kutishia utamuacha wakati hapa bongo mwanaume ndiye anayeacha na sio kuachwa.
Hahaha
 
Back
Top Bottom