Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If i tell you then i will have to kill you! Since i dont want you dead, i wont tell you!
Siri yetu! Niwaambie na nyie mkaonje? Akuuuuuu!
I am so damn curious hebu ningate sikio shosti nawe....maana since you started mentioning him umebadili mitazamo kabisa nipo in shockmode 😱!!
aiiii jamaniii usinifanyie hivo vibaya shostito 🙁Akhaaaaaaaaaa! Hapa nilipo niko kwenye ushindani mkubwa na wafatao miss neddy, Khantwe, vaisley Valentina ET AL! Tunarogana mwanzo mwisho! Sasa ukiongezeka na wewe huoni hali itazidi kuwa mbaya zaidi?
Habibt akifungua jf anakuta notificatio si chini ya 50, na pm si chini ya 10 mpaka anaanza kujoogopa sasa maana amezidi utamu kuliko sukari ya warembo!
Njoo kwenye thread yangu mpya nitachombezea kidogo why?aiiii jamaniii usinifanyie hivo vibaya shostito 🙁
Pole...umeongea nae kuhusu kukosekana amani ktk mapenzi yenu?
Hahaha ,nimeupenda ushauri wako.sex inaenda na umri.... itafika wakati utasahau kama mna vifanyio. tafta anaekupa furaha na amani ya roho. achana na hizo bao unazopigishwa kitandani. maisha ni zaidi ya sex.
ninapojaribu kumwambia anakua mkali kama pilipili yaani hakosoleki aseee.. ndio mwanaume ni kichwa cha familia na namuheshimu vizuri tu but lazima kumshirikisha mwenzio sasa yeye hakosei et na ukijaribu kumwelekeza ana-define kivinginee kabisaa na kuleta visingizio chungu na tele khah!!!!!!!
Hahaaaaaaa! HATA UTIE NA ANJINAMOTO BADO HARAGE TU YAKHEEE NA SHURTI USHUZI UTAKUBANA BAADAE! Kantangazeeeeeeeeeeee! Usifananishe kifo na usingizi! Kuku ni kuku na harage ni harage! Ukichoka maharage HAMIA AIRTEL ule kuku kwa mrija!
what i can do jamani.. hapa nilipo totally sijielewi yan ee mungu wa shedack meshak na abednego help mimiii..
fanya maamuzi magumu now tumia tu busara...mwambie not the right moment now so utaendelea having sex while unapanga plan b taratibu....
Akhaaaaaaaaaa! Hapa nilipo niko kwenye ushindani mkubwa na wafatao miss neddy, Khantwe, vaisley Valentina ET AL! Tunarogana mwanzo mwisho! Sasa ukiongezeka na wewe huoni hali itazidi kuwa mbaya zaidi?
Habibt akifungua jf anakuta notificatio si chini ya 50, na pm si chini ya 10 mpaka anaanza kujoogopa sasa maana amezidi utamu kuliko sukari ya warembo!
It depends! If i must i go for GOOD SEX! Hela unaweza kuchuna kiurahisi kwa wakuja yeyote but GOOD SEX these days aint easy to get any!
Inabidi siku uongee nae wakat mpo kwny 6×6 wakat kishakupa mambo unaongea nae kwa utaratibu...mwambie anakupiga dudu vzr unaenjoy ila tatizo lipo huko kwny mambo mengine muombe abadilike
i already told him hundred times and he know kuwa kunako mahabat ananiacha hoii nikimwambia tu anasema nisimwambie kitu bcoz anajitambua ana anajua kila anachofanya so nimuache afanye anavotaka na mambo yake yataenda anavotaka yeye hapo tu yani ni mbishi sijawah ona...
Wowww i sm surprised!! Matola kakupa nn bi dada??
sex inaenda na umri.... itafika wakati utasahau kama mna vifanyio. tafta anaekupa furaha na amani ya roho. achana na hizo bao unazopigishwa kitandani. maisha ni zaidi ya sex.