Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

Usiwe na akili za panya....nani kakuambia mi ni shabiki wa Simba? Si bora Simba kuliko Yanga kimataifa, Simba wana rekodi nzuri shinda wachovu wa kimataifa kila mtu anajuwa hivyo. Jiulize we mwenyewe, toka umezaliwa mpaka ulikofikia umewahi kusikia Yanga imefanya maajabu katika mashindano ya kimataifa? Jibu lako ni Hapana, nadanganya? Si mnanenda kucheza na wale wachovu wenzenu huko kwao, utakuja kuniambia kama Yanga watarudi na majibu mazuri. Tunasubiri tu.
We sio mzima,unataka timu ikiingia tu kwenye mashindano basi Ichukue ubingwa,hebu fatilia vilabu vya ulaya sina haja ya kukutajia,kushiriki sio kushinda lakini ni kuthubutu kushinda tofauti na mtu ambaye hashiriki,ni kama kuwe na mtihani halafu wewe kwa umbumbumbu wako ukimbie halafu wenzako wafanye then ujione uko sawa na aliefanya.
 
Yanga, ni wachovu wa kimataifa, haina ubishi.....hawajawahi kufanya maajabu toka TZ ipate Uhuru, yaani toka miaka ya 60 mwanzoni....wanakaribia miaka 60 pasipo mafanikio yoyote kimataifa.
 
Ngoja utaona
bitmoji-20170721044209.png
 
Yanga, ni wachovu wa kimataifa, haina ubishi.....hawajawahi kufanya maajabu toka TZ ipate Uhuru, yaani toka miaka ya 60 mwanzoni....wanakaribia miaka 60 pasipo mafanikio yoyote kimataifa.
Kufanikiwa ni kuchukuwa kombe, hizo stori nyingine ni blaa blaa tu! Tuambie simba imewahi kuchukua kombe gani katika michuano ya Afrika? Zaidi ya lile bonanza la Musonye!!
 
Simba ilifika fanali kombe la CAF mwaka 1993....Yanga ilifika lini, hata hiyo nusu fainali tu?
 
Bila shaka we mgeni kwenye ligi yetu?yaani huijui mbumbumbu fc? mezani fc je?hata mikia fc huijui?basi labda mbeleko fc utakua unaifahamu.
kwakweli nimejaribu hata kuongea na wambura anasema hio.timu haipo.ligi.kuu
 
Back
Top Bottom