Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
We sio mzima,unataka timu ikiingia tu kwenye mashindano basi Ichukue ubingwa,hebu fatilia vilabu vya ulaya sina haja ya kukutajia,kushiriki sio kushinda lakini ni kuthubutu kushinda tofauti na mtu ambaye hashiriki,ni kama kuwe na mtihani halafu wewe kwa umbumbumbu wako ukimbie halafu wenzako wafanye then ujione uko sawa na aliefanya.Usiwe na akili za panya....nani kakuambia mi ni shabiki wa Simba? Si bora Simba kuliko Yanga kimataifa, Simba wana rekodi nzuri shinda wachovu wa kimataifa kila mtu anajuwa hivyo. Jiulize we mwenyewe, toka umezaliwa mpaka ulikofikia umewahi kusikia Yanga imefanya maajabu katika mashindano ya kimataifa? Jibu lako ni Hapana, nadanganya? Si mnanenda kucheza na wale wachovu wenzenu huko kwao, utakuja kuniambia kama Yanga watarudi na majibu mazuri. Tunasubiri tu.