Hawajafunga hata kwanza Ruben ni player mno na hadi mwaka jana walikuwa wamegombana, naona walupopatana Dina akaamua kutegesha maana baada ya ujauzito na kujifungua Nchakali ndo akajirudi na kumuomba msamaha Dina na sasa wanaishi pamoja.
Nilijua tu kuzaa na Reuben Ndege watu na visasi vyao watamtoa, kwanza wali mind sana Dinna na Gea kushika mimba pamoja ila Gea kwasababu Yuko ktk ndoa haikuwa issue, waliona kama kuhujumu kipindi.
Hawajafunga hata kwanza Ruben ni player mno na hadi mwaka jana walikuwa wamegombana, naona walupopatana Dina akaamua kutegesha maana baada ya ujauzito na kujifungua Nchakali ndo akajirudi na kumuomba msamaha Dina na sasa wanaishi pamoja.
Wanapendezeeana, si nilisikia dina walikuwa wanasagana na shamim Mwasha?
Ok. Asante kwa kunielewesha queen of sheba. Maskni Dina alivyo decent huyo ncha kali ajirekebishe walee mtoto.
moyo wangu utauwezaa wwNiachie moyo wako..
Kweli kabisa heka heka ni Nouma full maudaku
Cheko lake la kimbea mbea halaf la kichokoz
Yule mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm, Dina Marious leo ametangaza kuwa hataendelea kufanya kipindi hicho na badala yake anakuja na kipindi kipya cha TV.
Dina ambaye hajasikika kwenye kipindi hicho kwa miezi kadhaa baada ya kwenda likizo ya uzazi baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Zion,
ametoa taarifa hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram. Hiki ndicho alichokiandika: "Ni miaka 8 sasa imetimia toka nilipokabidhiwa mtoto huyo. Nilimlea kwa
taabu sana siku za mwanzo zilikiwa ngumu wakati mwingine sikulala kuhakikisha anakuwa salama. Nyakati hizo nilionekana nisingekuwa mama bora wa
mtoto huyo lakini nilipigana kike na kuwa mtoto bora aliyependwa na kusifika nchi nzima".
Mtoto huyo anaitwa leo tena na Dina Marios. Leo tena ikawa leo tena na kuwa kipindi bora kinachopendwa tanzania na Dina Marios nikawa mtangazaji bora wa kike na wapili bora Tz nzima kwa kupendwa hii ni kwa mujimu wa research. Kupitia leo tena nimetengeneza mashabiki, marafiki, wapenzi na hata ndugu. Sasa leo tena imekuwa na sina budi kuiacha iendelee kulelewa na mtu mwingine.
Kama nilivyokabidhiwa leo tena kuilea nimepewa tena jukumu lingine kubwa la kulea mtoto mpya atakaeonekana kwenye luninga inamaana ntakuwa nikiuza sura luningani. Niliwapenda sana wasikilizaji wangu japo mlikuwa mkiniuliza narejea lini kwenye leo tena ukweli ni kwamba sirudi tena kwenye leo tena.
Naomba sala na dua zenu katika safari yangu mpya ambayo najua haitakuwa rahisi kama mlivyokuwa nami kwenye leo tena basi muwe nami katika hili. Wiki ijayo nitakuja rasmi kuwaaga kupitia leo tena ya Clouds FM. Nawapenda mno machozi kede kede yananimwagika
Anakipendezesha sana kipind yule na ana mashabik wengi , maan watu wanapenda umbeyaa aiseeh
Anakipendezesha sana kipind yule na ana mashabik wengi , maan watu wanapenda umbeyaa aiseeh
Aaah aah kwani bado hujaachika tu ?? Maana ule msuto wa juzi na maturembeta had nyumban shem hajakuacha?? Dah kweli Shem anakupenda
Eeh ebu nipe uji kwanza , ilikuwaj kwan binam
Kulikua na umbea kule Mmu kuna chiz alisema anataka kufa heee sie tukajiandaa na msibaa tukaanza kupanga sare za kuvaa,kukodi watu wa kuliaa,msosi binamu mtu si akagairi kufa, tulinunaje mimi Evelyn Salt ICHANA TATIANA na Kim nana tukakosa tenda eeee alitukomajee,mim nikawa natumiwa sms watsapp na shemejio namjibu huku nachungulia huku weee si akaja jamii kuangalia nimo ilikua kesiii ila alinisameheee