Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Sasa kwa nini anasema hana uwezo ilihali anajua fika zama ni kitu cha ruge anamshusha cheo zama

Kuwa kiburudisho cha Ruge akimpi mandate yakumfukuza kazi Dina isipokuwa ana influence kubwa huyo Zama....coz Dina hajaajiriwa na Zama.
Ila hivi vibirudisho vya bosi vinakuwaga vitata
 
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...
Boss wa efm hajamuona dina maana ncha kal yopo efm..
 
Hata mimi nimekisema hapo awali......na yote hii inasababishwa na mapenzi kazini.Mkisha ruhusu mapenzi kazini basi lazima kuwe na matabaka
 
Cloudz kitu gani swala mezan ni uwezo dina ana uwezo na anaajirika kama vip awapige chin hata wik hamaliz atakuwa ana ajira mpya..
Aachane na wanaoleta mapenz kazin..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…