miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Upo my dear...long time
Okay,
Alisema lini, wapi, na katika muktadha upi?
Maana asije kuwa alimaanisha na wao ni watu wa kawaida wanaopitia mengi kama ilivyo kwa watu wengine lakini nyie mkatafsiri vibaya na kudhani kuwa alikuwa akizungumzia kuhusu sehemu afanyiayo kazi.
Bitches be like.....!
Mtu yupo kwenye fedha na still mwembamba kama mkaanga sumu lazima atakuwa na roho mbaya inayomtafuna mwili,ukiona mtu yupo vizuri kimaisha na mwembamba kama reli basi jua ana roho mbaya.
Cc: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Marry me don't you see am pregnant again???
Hhheeeeeeeeee uwiiiii nichekee mieeeeee
Ameamua kubadili mfumo wa maisha?
Kwani alikuwa na mfumo gani mpaka ameamua kubadilika?
Btw, naipenda sana sauti ya Dina Marios...
Kwa hiyo amejitambua baada ya kufukuzwa kazi, si ndiyo?Alikua single now ni mama,napia ukipita ktk page yake anasema zion(mwanaye) amembadili sana mfumo wake wa maisha na sasa anafurahi zaidi anapotengeneza mafuta ya nazi(dina marios baby coconut oil) kwa moyo wake wote kwa ajili ya watoto na watu wazima pia,so akili yake imekua focus na ubunifu wa biashara zaidi pia atakuja toa diapers zake so lets keep on supporting this brilliant lady.
nimefurahi Tu kipenzi changu hhhhaaaaa
Kwa hiyo amejitambua baada ya kufukuzwa kazi, si ndiyo?
Hivi Ruge hanaga mke wa ndoa?