Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema


unaonekana nawe ni mwana Familia wa mawingu sio bure
 
Siku zote ukitaka watu wasijue ukweli we nyamaza kimya tu, watu wataongea weee ila kamwe hawawezi kuujua ukweli, mwisho wa siku watanyamaza, ila ukihubutu tu kufungua mdomo wako baasi watu watajua kila kitu, ukweli wote umejulikana sasa
Hii point kbs ukinyamaza watu wataongea wee watauliza maswali wee then watajibu then watanyamaza then watasahau.
 
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...
na huupat ukwel ng'oooooo

Hahahaaa jamaaa ni complicater we angalia majibu yake na maswalii utagunduaa kunakitu fulanii hivii, nimejaribu kugongana nae humu ndani ila nimeshamsomaa huwa namkimbiaa

Anaatumaswalii twingii sanaa tuwa ajabu ajabuu.
 
Hali ya hewa ni Nzuri kabisa hapa kilosa....
 

Acha mapenzi kazini kupunguza migogoro isiyo ya lazima

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Athari za Mapenzi kazini. Dina yuko vizuri. Tangu ameondoka leo tena imepwaya sana. Zama simpendi sijui kwa nini. Halafu kimdomo chake kinaonyesha kama ana majungu.

Hahahaaa lol! Eti kimdomo. ......?
 
ukisoma hiyo meseji ya dina ukailewa utajua kuwa ishu hapa si zamaradi ila ni mzee wa fitna ruge. manake diana anadai anafanyiwa revenge kutokana na mtu wake wa karibu ambaye revenge hii haimuathiri huyo mtu.
basi hapa ni ncha kali tu alivyoondoka wakaona wamkomoe mama watoto wake.
jamani ruge wewe ni baba una watoto sita na una ndugu pia ambao usingependa wafanyiwe ushenzi wa namna hii muache dada wa watu arudi kazini.

dina alipoenda kujifungua alidai hatorudi tena kwenye leo tena ila atakuwa kwenye luninga na kipindi kipya ila mzee wa kauzibe katia ngumu kisa ncha kali amehama wakati clouds si ya ruge ni ya kusagaz yeye ni mkurugenzi tuu dina nenda kamlilie mke wa kusaga utarudishwa kazini faster ruge hana hata buku clouds ushkaji na kusaga tu tangu wakiwa states baaasi kafanywa mkurugenzi na kuanza kujidai mungu mtu.
 

Akamlilie mke wa Kusaga kwani hawezi kutafuta kazi sehemu nyingine ?
Haya mambo kuwa lazima ufanye kazi Clouds yamepitwa na wakati Fina,Kipanya,Gardner,Maestro,Geoffrey Leah wote waliondoka Clouds still wamepata kazi sehemu nyingine na maisha yanasonga
 

Tena wako vizuri balaa
 

Aende sehemu nyingine kutafta life ni popote hata akirudi sidhani ka atakua na amani huyo Ruge ni mzee wa revenge sana huyo.Tena Dina ni mtangazaji mzuri tu atafanikiwa kokote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…