Kingo Janta
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 319
- 262
Nilistuka kuona ukimya wa ncha kali, nilifikiri labda karnda shule! Nijuzeni jamani wapi ncha kali?
Ncha kali yupo B boy kitaa chini ya mataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilistuka kuona ukimya wa ncha kali, nilifikiri labda karnda shule! Nijuzeni jamani wapi ncha kali?
Kuna kipindi niliona insta watu wanamsema katika page yake kuwa aache kumpelekesha Gea ktk kipindi
Ahahahah ila siku ile alijitahid aiseeh , nasikia alinunua lile gaun milion moja
Wewe umejuaje kuwa wafanyakazi wengi wa Clouds wana maumivu moyoni?
Je, walikwambia kuwa wana maumivu moyoni?
Au wewe uliyaona hayo maumivu yao ya moyoni?
Au hujui bali unadhani tu kuwa wana maumivu moyoni?
Na unajua tofauti ya kudhani na kujua?
Halafu wengi ni wangapi?
huyu dada nampendaga
Hii point kbs ukinyamaza watu wataongea wee watauliza maswali wee then watajibu then watanyamaza then watasahau.Siku zote ukitaka watu wasijue ukweli we nyamaza kimya tu, watu wataongea weee ila kamwe hawawezi kuujua ukweli, mwisho wa siku watanyamaza, ila ukihubutu tu kufungua mdomo wako baasi watu watajua kila kitu, ukweli wote umejulikana sasa
Hahhahaha! Ww ni aina ya watu wanaopenda umbea sana ila huwa wanashindwa kuuliza kuogopa kuonekana namna gan vip unaishia kujificha kwenye maswal...
na huupat ukwel ng'oooooo
ni mdogo wake toka nitoke
Mmmhh cheusi mangala wakati Anajiung alikua mpole alivoanza kutoka na ruge ndo akawa nae machachari kweli lol sikapendi
Unataka nikuonyeshe wapi ulipoandika kwamba 'unadhani' kwani mimi nimesema wewe unadhani?
Ni wazi kuwa nilichokiandika hujakisoma na kukielewa vizuri.
Ngoja nikusaidie basi, sawa?
Ni hivi, nimeandika kwamba kwa vile wewe hujajibu swali langu hata moja, kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui bali unadhania tu.
Sasa, mimi kuandika hivyo si kwamba nasema wewe unadhania. La hasha, bali nasema kutokujibu kwako ni dalili ya kwamba hujui.
Unajua maana ya dalili?
Hhheeeeeeeeee uwiiiii nichekee mieeeeee
Athari za Mapenzi kazini. Dina yuko vizuri. Tangu ameondoka leo tena imepwaya sana. Zama simpendi sijui kwa nini. Halafu kimdomo chake kinaonyesha kama ana majungu.
ukisoma hiyo meseji ya dina ukailewa utajua kuwa ishu hapa si zamaradi ila ni mzee wa fitna ruge. manake diana anadai anafanyiwa revenge kutokana na mtu wake wa karibu ambaye revenge hii haimuathiri huyo mtu.
basi hapa ni ncha kali tu alivyoondoka wakaona wamkomoe mama watoto wake.
jamani ruge wewe ni baba una watoto sita na una ndugu pia ambao usingependa wafanyiwe ushenzi wa namna hii muache dada wa watu arudi kazini.
dina alipoenda kujifungua alidai hatorudi tena kwenye leo tena ila atakuwa kwenye luninga na kipindi kipya ila mzee wa kauzibe katia ngumu kisa ncha kali amehama wakati clouds si ya ruge ni ya kusagaz yeye ni mkurugenzi tuu dina nenda kamlilie mke wa kusaga utarudishwa kazini faster ruge hana hata buku clouds ushkaji na kusaga tu tangu wakiwa states baaasi kafanywa mkurugenzi na kuanza kujidai mungu mtu.
Akamlilie mke wa Kusaga kwani hawezi kutafuta kazi sehemu nyingine ?
Haya mambo kuwa lazima ufanye kazi Clouds yamepitwa na wakati Fina,Kipanya,Gardner,Maestro,Geoffrey Leah wote waliondoka Clouds still wamepata kazi sehemu nyingine na maisha yanasonga
Tukijua kilichomuondoa ncha Kali ndio tutajua y kawekwa benchi
kwani yule ncha kali nae kasepeshwa clouds?
Akamlilie mke wa Kusaga kwani hawezi kutafuta kazi sehemu nyingine ?
Haya mambo kuwa lazima ufanye kazi Clouds yamepitwa na wakati Fina,Kipanya,Gardner,Maestro,Geoffrey Leah wote waliondoka Clouds still wamepata kazi sehemu nyingine na maisha yanasonga