Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Yes, Ncha Kali na Dina Wamempokea A Baby Boy. Ncha Kali Amethibitisha Hayo Kwenye Account Yake Ya Twitter, Huku Akikiri Yote Aliyoyapenda Yamepoteza Maana Baada Ya Kumuona Kiumbe Chake Hicho.

MAY GOD BLESS THEM!
 
Yeeeeees....Ncha Kali na Dina Wamempokea A Baby Boy....Ncha Kali Amethibitisha Hayo Kwenye Account Yake Ya Twitter....Huku Akikiri Yote Aliyoyapenda Yamepoteza Maana Baada Ya Kumuona Kiumbe Chake Hicho......MAY GOD BLESS THEM!
Ndio nani hao tena?Wape hongera zao mimi mgeni mjini.
 
Hongera baba na mama Zion Ruben Ndege hata instagram kaweka na picha yake na mtoto
 
Mdada mvumilivu sana, hivyo ndivyo inavyotakiwa maana best kwa kukamata vicheche ni balaa. 6 years ya uhusiano wao uamuzi aliouchukua namuunga mkono.
 
baba wa mtoto naniii?au ndo walewaleee no father
 
Hivi siku hizi kuzaa nje ya ndoa ni fashion? au walishaowana hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…