simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
C mnajua vicheche wa saut kama hawana wazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh...Kwakweli Sidhani Kama Ana Familia,Dina Anatambulika Hadi Ukweni.
Sio issue sana Matola...Hivi kutambulika ni issue? je unajuwa wanatambulika wangapi?
kwanza ili nikudadavulie vizuri huyu Sebastian ana uhusiano na marehemu aliyekuwa mmiliki wa ndege insurance?
Hivi kutambulika ni issue? je unajuwa wanatambulika wangapi?

Sio issue sana Matola...
lakini si vibaya tukiwatakia kila lililojema na kuwaombea wabariki ndoa...si kua negative na kutaka kuchimbaaa!
Hongera zao Mungu awakuzie
Mimi sishauri msichana yeyote ambaye umri haujakwenda azae kabla ya ndoa, kwa umri nilioishi duniani nina uzoefu mkubwa sana na hasara nyingi kuliko faida.
Kweli kila shetani ana mbuyu wake...never question that