Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

Mmh...Kwakweli Sidhani Kama Ana Familia,Dina Anatambulika Hadi Ukweni.

Hivi kutambulika ni issue? je unajuwa wanatambulika wangapi?

kwanza ili nikudadavulie vizuri huyu Sebastian ana uhusiano na marehemu aliyekuwa mmiliki wa ndege insurance?
 
Sio issue sana Matola...
lakini si vibaya tukiwatakia kila lililojema na kuwaombea wabariki ndoa...si kua negative na kutaka kuchimbaaa!
Hongera zao Mungu awakuzie
 
Sebatian Ndege? unachanganya mafile wewe huyu ni Reuben Ndege ingawa naye alikuwa clouds sasa hayupo.
 
Hongera sana Dina Marios kwa kujifungua salama!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
 
Hivi kutambulika ni issue? je unajuwa wanatambulika wangapi?

kwanza ili nikudadavulie vizuri huyu Sebastian ana uhusiano na marehemu aliyekuwa mmiliki wa ndege insurance?

Huyu anaitwa Reuben Ndege....Sijui kama ana uhusiano wowote na wa Ndege Insurance.
Na kwa case ya Dina,Kutambulika ni 'issue'sababu jamaa (Inavyosemekana)alikuwa mwingi wa habari na yeye mwenyewe indirectly amelikiri hilo....
 
Sio issue sana Matola...
lakini si vibaya tukiwatakia kila lililojema na kuwaombea wabariki ndoa...si kua negative na kutaka kuchimbaaa!
Hongera zao Mungu awakuzie

Mimi sishauri msichana yeyote ambaye umri haujakwenda azae kabla ya ndoa, kwa umri nilioishi duniani nina uzoefu mkubwa sana na hasara nyingi kuliko faida.
 
Back
Top Bottom