Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani hao tena?Wape hongera zao mimi mgeni mjini.Yeeeeees....Ncha Kali na Dina Wamempokea A Baby Boy....Ncha Kali Amethibitisha Hayo Kwenye Account Yake Ya Twitter....Huku Akikiri Yote Aliyoyapenda Yamepoteza Maana Baada Ya Kumuona Kiumbe Chake Hicho......MAY GOD BLESS THEM!
Ndio nani hao tena?Wape hongera zao mimi mgeni mjini.
huyo mkaka anavutia.. hongera DinaWatangazaji wa clouds
![]()
huyo mkaka anavutia.. hongera Dina
hahaha! hongera kwa kila kituheheheheh.............hongera kwa Dina kupata mtoto au kwa kupata huyo mkaka anayevutia?