Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

Huyo ncha kali ndo mume wa Dina?
 
Mbona nasikia huyu ncha kali ana familia yake kabisa, haogopi kujitangaza hivyo au ndoa yake ina ualakini?

Sidhani kama Ana familia ila ni mtu wa totoz! Hata clouds fm walimuondoa Ali share demu mmoja mwanamuziki wa Kenya na mkurugenzi, akatafutiwa sababu akaondolewa.
 
Kwenda kule sisi sasa tufanyeje, kunguni weee
 
Sidhani kama Ana familia ila ni mtu wa totoz! Hata clouds fm walimuondoa Ali share demu mmoja mwanamuziki wa Kenya na mkurugenzi, akatafutiwa sababu akaondolewa.

Yule dada alimng'ang'ania ile mbaya,sijui alimpa nini mtoto wa kikenya...
 
Mbona nasikia huyu ncha kali ana familia yake kabisa, haogopi kujitangaza hivyo au ndoa yake ina ualakini?

Mmh...Kwakweli Sidhani Kama Ana Familia,Dina Anatambulika Hadi Ukweni.
 
Mbona nasikia huyu ncha kali ana familia yake kabisa, haogopi kujitangaza hivyo au ndoa yake ina ualakini?

Hana familia wala mke dina na ncha wamedate almost 6 yrs na mpk sasa mama ake ncha yupo hapo kwa akina ncha na dina kumuona mjukuu na dina na nchakali walikuwa wanaishi pamoja baada ya kupata ujauzito
 
Safi hongera ndo maisha hayo,hivi ncha kali hayupo clouds kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…