Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

Huyo ncha kali ndo mume wa Dina?
 
Mbona nasikia huyu ncha kali ana familia yake kabisa, haogopi kujitangaza hivyo au ndoa yake ina ualakini?

Sidhani kama Ana familia ila ni mtu wa totoz! Hata clouds fm walimuondoa Ali share demu mmoja mwanamuziki wa Kenya na mkurugenzi, akatafutiwa sababu akaondolewa.
 
Dua,

Nilivyoelewa mimi ikiwa kuna mkataba kati ya IPTL na Kenya, serikali ya tanzania inaweza kufanya uchunguzi kuhusu swala zima kwa sababu IPTL imejisajiri Tanzania. Huu ni upelelezi ndani ya Tanzania hauhusiani na mashtaka ya serikali ya Tanzania. Wale wote waliohusika na deal zima la IPTL wanaweza kuchukuliwa hatua ndani ya Tanzania lakini haihusiani kabisa na madai ya Kenya kuishtaki Tanzania.

Mwanao akiiba dukani na ikadhihirika utamweka chini na hata kumchara za bakora lakini haiwezi kuwa baba ukawa mshikatiwa ati wewe ndiye ulimtuma dukani kununua kitu!

Kwenda kule sisi sasa tufanyeje, kunguni weee
 
Sidhani kama Ana familia ila ni mtu wa totoz! Hata clouds fm walimuondoa Ali share demu mmoja mwanamuziki wa Kenya na mkurugenzi, akatafutiwa sababu akaondolewa.

Yule dada alimng'ang'ania ile mbaya,sijui alimpa nini mtoto wa kikenya...
 
Mbona nasikia huyu ncha kali ana familia yake kabisa, haogopi kujitangaza hivyo au ndoa yake ina ualakini?

Mmh...Kwakweli Sidhani Kama Ana Familia,Dina Anatambulika Hadi Ukweni.
 
Mbona nasikia huyu ncha kali ana familia yake kabisa, haogopi kujitangaza hivyo au ndoa yake ina ualakini?

Hana familia wala mke dina na ncha wamedate almost 6 yrs na mpk sasa mama ake ncha yupo hapo kwa akina ncha na dina kumuona mjukuu na dina na nchakali walikuwa wanaishi pamoja baada ya kupata ujauzito
 
Safi hongera ndo maisha hayo,hivi ncha kali hayupo clouds kwa sasa?
 
Back
Top Bottom