Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Hiyo radio haifiki MusomaDina yupo kwenye Uhondo Efm.
Mnapotoa comments muwe mnaweka kichwani kuwa JF inapatikana hadi Tarime, siyo Dar tu.Tulishamsahau huyo Dina... Kama huwa hawakufurahisi huna ulazima wa kuwasikiliza... Tune in EFM utakutana na Dina wako.....
Mnapotoa comments muwe mnaweka kichwani kuwa JF inapatikana hadi Tarime, siyo Dar tu.
Vipi unataka unipe makalio?boss we ni me au ke
Mkuu nisamehe tu, muda ule ulipoulizia mshahara wa CPwaaaaa nikakuuliza jinsia hukunijibu, ulisema tu wewe ni INNOCENT CHACHA, ila kwa hii thread inabidi nifanye conclusion zangu tu.
Leo tena?
Yupo lakini amepwaya sanaJamani napita tu mm namjua hapo gear habibu au naye alishatoka
Hizi thread nyingine hizi, si usikilize radio nyingine tu. Kuandika humu itasaidia nini?
Mkuu wewe ni kike au kiume?Maajabu haya
Mkuu nisamehe tu, muda ule ulipoulizia mshahara wa CPwaaaaa nikakuuliza jinsia hukunijibu, ulisema tu wewe ni INNOCENT CHACHA, ila kwa hii thread inabidi nifanye conclusion zangu tu.
Leo tena?
Celebrities forum, piteni jf intelligence basiJinsia yako inatatiza kama ni ME
Celebrities forum, piteni jf intelligence basi
Yupo lakini amepwaya sana
Mlangoni tu pameandikwa mazuri na vimbwanga vya ma celebrities, sa sijui wengine mnategemea kukuta habari gani hukuHivi eeh!
Ngoja nijifunze taratibu za humu kwanza.
Mlangoni tu pameandikwa mazuri na vimbwanga vya ma celebrities, sa sijui wengine mnategemea kukuta habari gani huku
Celebrities forum, piteni jf intelligence basi
Akili zako sijui zikoje. Hiyo radio haifikii Musoma.Kesho njoo na sredi inayosema "napenda kumsikiliza Dina Marios wa EFM"
Usipotoshe ummaNo, mimi wala sikuongea nje ya mada. Kasema tokea Dinah Marios ameondoka Kilaudis imepoozanimempaka ushauri abadilishe chanel.