Dina Marios: Pengo lililoshindikana kuzibika Clouds FM

Dina Marios: Pengo lililoshindikana kuzibika Clouds FM

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Nimekuwa msikilizaji wa Leo Tena ya Clouds Fm tangu kipindi cha marehemu Amina Chifupa.

Najaribu kumsikiliza huyu sijui anajiita Da Hu na kina Musa Hussein. Kiukweli hata sielewi wanatangaza au wanabwabwaja.

Leo Tena kimekuwa ni kipindi kisicho na mvuto wala mwelekeo. Mpangilio wa nyimbo ovyo, makelele tu mwasho mwisho, watu kubishana tuu kama mitoto ya chekechea bwana.

Clouds hata kama huwa mnajisifia eti kwenu hakuna mtangazaji atakayejifanya star, ni ukweli usiyo na shaka yoyote Dina Marios ndiye mtangazaji pekee aliyeweza kukimudu hicho kipindi.
 
Last edited by a moderator:
Tulishamsahau huyo Dina... Kama huwa hawakufurahisi huna ulazima wa kuwasikiliza... Tune in EFM utakutana na Dina wako.....
Mnapotoa comments muwe mnaweka kichwani kuwa JF inapatikana hadi Tarime, siyo Dar tu.
 
Jamani napita tu mm namjua hapo gear habibu au naye alishatoka
 
Hizi thread nyingine hizi, si usikilize radio nyingine tu. Kuandika humu itasaidia nini?
Mkuu wewe ni kike au kiume?Maajabu haya
Mkuu nisamehe tu, muda ule ulipoulizia mshahara wa CPwaaaaa nikakuuliza jinsia hukunijibu, ulisema tu wewe ni INNOCENT CHACHA, ila kwa hii thread inabidi nifanye conclusion zangu tu.

Leo tena?
Jinsia yako inatatiza kama ni ME
Celebrities forum, piteni jf intelligence basi
 
Kesho njoo na sredi inayosema "napenda kumsikiliza Dina Marios wa EFM"
 
Celebrities forum, piteni jf intelligence basi

No, mimi wala sikuongea nje ya mada. Kasema tokea Dinah Marios ameondoka Kilaudis imepooza, nimempaka ushauri abadilishe chanel.
 
Back
Top Bottom