I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Nafikiri ni kutokana na maumbo yao makubwa ilikuwa si rahisi sana kujilinda kutokana na majanga mengi ya asiliNajiuliza kwanini wali perish wakati inaonekana ni strong creatures? Halafu wakabaki viumbe kama fisi sungura