Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Belle dinasour
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Belle dinasour
Mkuu sema sisi tumesaidiwa sana na teknolojia.Sema waliotutangulia kuijua dunia walikuwa wajanja wajanja sana. Vitu vingi walivyokuwa wakihisi, kwetu tumevipa green light
Yaah, labda na sisi tutakuja kusomwa kama viumbe vya zamani vilivyopotea.Mkuu sema sisi tumesaidiwa sana na teknolojia.
Taarifa nyingi zilipotea kwakua hakukua na maandishi badala yake wengi walikua wanasimuliana kama unavyojua mambo ya kusimuliana hayana consistence.
Naona teknolojia ni zawadi kutoka kwa Mungu.
I magine hii coment itasomwa mwaka 2100 wakati sisi sote hatupo duniani the same kama tunavyosoma maandiko ya 2007 hapa JF.
Hivi kwa maumbile yako yalivyo...kama kweli walikuwepo hapo kale,je!ungeweza kumudu vitimbi vyao?!!!Najiuliza kwanini wali perish wakati inaonekana ni strong creatures? Halafu wakabaki viumbe kama fisi sungura na nguruwe [emoji1782]
Tumemudu simba sembuse hao hata wao wangejifunza kutuheshimuHivi kwa maumbile yako yalivyo...kama kweli walikuwepo hapo kale,je!ungeweza kumudu vitimbi vyao?!!!
Duh...Tumemudu simba sembuse hao hata wao wangejifunza kutuheshimu
Nani aliyechanganya mbegu hizo kipindi hiko hata ustawi wa kisayansi haukuwepo?Inasemekana kwamba walichanganya changanya mbegu za wanyama ndio maana wakazaana wanyama wa ajabu ajabu...
Ila hawa hawakuwepo wakati wa uumbaji ambao Mwenyezi Mungu aliumba wanyama
Sure thing,wata enjoy sana watatuona na wakati huo tech itakua juu sanaYaah, labda na sisi tutakuja kusomwa kama viumbe vya zamani vilivyopotea.
Tafiti na ushahidi mbalimbali havioneshi dunia kuwa na mamilioni ya miaka kiasi hiko.
niliwahi kusoma hiki kitabu, jamaa anapakwa dawa na babu yake ili arudi miaka kibao nyuma na kuweza kuwaona hao wanyama.Wakati wa utawala wa Wajerumani Tanganyika, pakigundulika mifupa ya dinosaur huko Lindi Mifupa hiyo iko Ujerumani hadi leo
View attachment 1765969
View attachment 1765970
Huyu ni wooly mammoth alipotea juzi tu miaka elfu kumi iliyopita.
Huyo ni T-Rex ndio dinasour maarufu kati ya wote. Katili sana na mla nyamaViolent dinasour
Kwenye relic runner amenila mara 1000 sijui huyu kimaHuyo ni T-Rex ndio dinasour maarufu kati ya wote. Katili sana na mla nyama
Humu ndani kuna watu mnachekeshaKwenye relic runner amenila mara 1000 sijui huyu kima
Humu ndani kuna watu mnachekesha
Waliweza kuwamudu mkuu tumepewa tuwatawale viumbe vyoteIla mimi mpaka leo bado najiuliza, binadamu wa enzi hizo waliwezaje kuwamudu wanyama wakubwa hata kuliko miili yao?; Na ukiangalia hata maendeleo ya ubunifu silaha zenye nguvu kama za sasa kuwazuia teknologia jia hiyo haikuwepo.