Dinazarde yuko wapi????

Huyu dada na masai dada na mmoja hivi sina hamu naye maana kuna siku moja walinitukana mpaka uzi ule ukafungiwa na mod
bora ata asiudi yeye na masai dada maana nikiwaona hasira inanipanda kama presha
 
haaaaa Gobe wasamehe bure jamani... huyo mwingine umemsahau jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…