Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nnae hapa kasema unipe tu ujumbe nimfikishieWasaalam,
namtafuta shoga angu Dinazarde jamani, maana kuna issue tuliwasiliana
nae baada ya hapo naona kimyaaaaaaa... alie na mwasiliano
nae pls naomba ani Pm.. ni muhimu
Wasaalam
HoE.
kupigwa ban.. duh basi ndio maana kaadimikaKapigwa Ban
niki kupm ndio utanipa taarifa zake????Nipm nikupm basi
shoga wa JF huko kwenye ulimwengu mwingine hatuna mawasiliano kabisaaShoga yako huna namba yake ya simu?
njoo wewe jamaniNjoo pm.
Wewe si ndo mwenye shida.njoo wewe jamani
shoga wa JF huko kwenye ulimwengu mwingine hatuna mawasiliano kabisaa
tangulia naja...Wewe si ndo mwenye shida.
mara ya mwisho kumuona alikua anasifia kisses za USA baby!!
so without a doubt... atakuna USA baby!!
Kwani namba zake huna?kupigwa ban.. duh basi ndio maana kaadimika