Dini hairuhusu watu kusema uongo

Dini hairuhusu watu kusema uongo

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kumekuwa na matatizo kuhusu Nusra,mwanafunzi wa UDOM. Habari zinasema mwanamke alikufa kwenye ile ajali ya Waziri. Polisi inaelekea wanaleta obfuscation.

Badala ya kusema maneno kuuzima huu uvumi once and for all Polisi wanaleta ubabaishaji. Hawataki kuyamaliza haya maneno. They are just warming up to the exercise. Yaani, ndio kwanza wameanza. Mpaka watu wengine wanasema iundwe tume ya uchunguzi.

Kwa nini polisi aseme bado wanachunguza bila hata kugusia mashuhuda wa ajali walisema nini? Sasa,inasemekana,wamekufa wasichana wawili pale UDOM.

Kwa kifupi, it is immoral kusema uongo. Inaleta taharuki katika jamii. Polisi anaposhirikishwa kwenye uongo,na daktari anashirikishwa kwenye cover up,inaleta hofu kwamba siku nyingine linaweza kutokea jambo serious zaidi halafu watu wakashindwa kuwaamini Polisi.

Sasa, tunatumaini ubabaishaji huu hawajafanyiwa wazazi wa hawa watoto. Huko Moshi kijijini kwake Nusra,mwenyekiti wa kijiji anasema hana taarifa ya kifo cha Nusra. Sasa,ni sawa kweli kulisumbua Taifa na habari kama hizi?
 
Back
Top Bottom