Dini haziruhusu kuwa tajiri

Dini haziruhusu kuwa tajiri

Kuna moja hipo mfungo inaruhusu majini,ubinafsi wapekee na kujilipua, nyengine inafanya mchezo wa biko ili utoe sadaka
 
Wakati mwingine inabidi uchanganye na zako, ukienda kuchwakichwa umeliwa. Kuna dada mmoja aliuza biashara ya vyombo, kapata faida elfu 10, kaenda fasta kutoa fungu la kumi. Kesho yake anatuambia tumlipie hana hata mia. Niliishia kucheka tu.
Alitoa sehemu isiyo sahihi
 
Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
kua tajiri au maskini ni hiari na uamuzi wako binafsi...
 
Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno

Labda kama upande wa pili, Uislamu haujazuiwa kuwa na mali
 
Mbona ulaya na uarabuni wao ni matajiri au Biblia na Quran zao ni tofauti na zetu.
Pili nani kakuambia mwafrika kashika dini waafrika wenye dini ni wachache kuliko wasio kwenye dini
• Dini ni upumbavu wa level ya juu,

• Hao walioleta dini hapa Africa, ingelikuwa bado wapo wanastahili kubanikwa kwenye moto mkali hadi wanakata Roho.

• Ni mungu wa aina gani huyo, atoke ulaya, uarabuni alafu aje Africa kwa njia ya makaratasi?

• Utajiri wa Huko ulaya, unatoka huku huku Africa, hakuna sehemu nyingine... Na imani/Dini zao zinatumika kwa akili siyo kwa mihemko.
[ Africa is dark content na itaendelea kuwa dark content × 4 ]

Kwenye vipengele hivi, muafirika Huwezi kumtoa hata iweje
. Dini
. Ngono
Sasa hivi tunaelekea huku 👇
. Ushoga > nguvu kazi hamna > kutawaliwa mara ya pili tena.
 
Kwann tusiwe matajiri hali still utajiri tele umebakia hata robo hawakuumaliza.
Nchi ya kwanza Dunia kwa utajiri mali ni congo,tza ya kumi hapa shida ni sisi.
Dini imeleta ustaarabu na chanzo cha maendeleo ya ulaya na uarabuni
 
Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Mkuu, achana na dini za maboti.....hizi dini hufanya Watu kuwa wajinga tena kimakusudi tu. Ni laana tupu Mwafrika kuabudu hizi dini.
 
Back
Top Bottom