nyambaterito
Member
- Aug 11, 2022
- 51
- 46
Kuna Mungu kabla ya Dini. Tusibaguane. Moja ya changamoto ambayo ukiiangalia kama haina mashiko makubwa lakini ni moja ya vitu ambavyo watu wanakumbana navyo katika nyanja mbali mbali katika maisha ya kila siku.
Hasahasa pale linapokuja suala la ajira iwe binafsi au serikalini. Najua kwenye serikali mtashtuka kidogo kwa kuwa tunaamini serikali haina dini, Yes ni kwel but waliopo tunaamini wanazo,Sitaki gusia huko tuje hapa kwa sekta binafsi.
Utakuta mtu anakosa kazi kisa ni dini fulani tu na utakuta vigezo anavyo vya kufanya hiyo kazi ila kwa sababu ya dini yake anakosa kazi, hii haipo sawa. Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu.
Tubadilike na tusaidiane ili tufike kwa pamoja mahala palipo sahihi.MUNGU ATUBALIKI SOTE 🙏🙏