Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

Munataka muingie kwenye viwanda vya waislam mulete najisi zenu hukoo,
Nendeni kwa wagalatia wenzenu kwani hawana viwanda?
Sawa na hizo juis muuziane huko kwenye misikiti na madrasa zenu..mnakubalije kupokea hela za unajisi..kutoka kwa wanajisi.

Nyie ndio mnao kataa kula nyama ya nguruwe ila mchuzi wake mnakunywa..hopeless kabisa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wabaguzi wakubwa ni serikali yenu ya kigalatia,
Mumejazana huko wagalatia wengiii na kuwanyima waislamu nafasi halafu munamsingizia mzee baharesa?
Nendeni kwa mengi si anauza soda na yeye
Wabaguzi wakubwa
Hivyo chuki uliyoijaza moyoni mwako..soon utaenda talebani na hivi sasahivi wana kitengo cha wanaojitoa muhanga..hope utapewa ukuu wa kikosi...pole sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivyo chuki uliyoijaza moyoni mwako..soon utaenda talebani na hivi sasahivi wana kitengo cha wanaojitoa muhanga..hope utapewa ukuu wa kikosi...pole sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni dhana na mbinu iliyofeli,
Endelea kuitumia ila wengi wameishtukia haifanyi kazi saa hii,
Utakavyodhihirisha chuki ndivyo nami nitadhihirisha,
Na ukianza nitamaliza
 
Kuna Mungu kabla ya Dini. Tusibaguane. Moja ya changamoto ambayo ukiiangalia kama haina mashiko makubwa lakini ni moja ya vitu ambavyo watu wanakumbana navyo katika nyanja mbali mbali katika maisha ya kila siku.

Hasahasa pale linapokuja suala la ajira iwe binafsi au serikalini. Najua kwenye serikali mtashtuka kidogo kwa kuwa tunaamini serikali haina dini, Yes ni kwel but waliopo tunaamini wanazo,Sitaki gusia huko tuje hapa kwa sekta binafsi.

Utakuta mtu anakosa kazi kisa ni dini fulani tu na utakuta vigezo anavyo vya kufanya hiyo kazi ila kwa sababu ya dini yake anakosa kazi, hii haipo sawa. Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu.

Tubadilike na tusaidiane ili tufike kwa pamoja mahala palipo sahihi.MUNGU ATUBALIKI SOTE 🙏🙏
amina
 
Back
Top Bottom