Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Ni kweli, kwa ajili ya kulinda maadili, wanafunzi/watoto wetu wanapaswa kufundishwa dini. hoja ni wafundishwe wapi? makanisani au shuleni? tukiweka shuleni si tutaleta hadi makazini? zamani nilipokuwa mdogo waalimu wakristo walikuwa wanakuja kutufundisha darasani siku ya jumatano na jumamosi, pia waislam pia walikuwa wanafundishwa, tunagengwa kwenye madarasa kila watu na dini yao. Sekondari nimeenda kila watu na dhehebu lao. lakini haya mambo yalikuja kupotea, nadhani waliona umoja wa kitaifa unakufa. why?
1. kama wakiruhusu dini kufundishwa, kila watu wafundishwe kwa madhehebu yao. mfano, mimi ni mkristo, Mlokole, nisingependa kabisa mtoto wangu afundishwe dini ya padre, aende mchungaji wa kilokole akafundishe wanafunzi walokole.
2. kwenye hizo shule, wagawe madarasa, na wanafunzi wagawanywe, walokole watakuwa na darasa lao, walutherani darasa lao, anglican wanaoruhusu ndoa za mashoga wawe na la kwao, catholics wawe na darasa lao, AIC wawe na darasa lao na kina mwamposa wawe na madarasa yao.
3. Hii ni hatari sana, imeanza kuwatenga watoto kidini tangu wakiwa wadogo kabisa shuleni, wataendelea hivyo hadi watakapokuwa wazee. Samia atakuwa amekuwa rais wa kwanza kuleta utengano kwa minajili ya dini nchini hapa.
4. wale wanafunzi wanaosali pamoja, ndio watakuwa marafiki, ndio watasaidiana makazini wakimaliza shule, na wataonana ndugu kwa minajili ya dhehebu.
5. tunachoogopa zaidi hapa ni "ushoga", dhambi hii ni mbaya sana, lakini tujiulize, eneo kama zanzibar ambako kuna dini sana, almost 99% ni waislam, hao hao wanaong'an'gania tutenge watoto kidini madarasani, mbona ushoga umeshamiri kuliko bara?
6. kwanini watoto wasiruhusiwe kwenda kuswali siku zile za ijumaa, jumamosi na jumapili respectively?
7. kuna seminari za kikristo na kiislam, kama shida ni dini, huko kwenye maseminari utawala ni wenu, si mfundishane izo dini huko?
SAMIA ANAFIKIRI HII NCHI ANAIPELEKA WAPI? KWASABABU WAISLAM WAMETAKA BASI HATA TUKITENGA WATOTO NI POA TU? AU ANAFIKIRI HAPA NI ZANZIBAR? Huku bara tuna dini mbalimbali, na tuna madhehebu mbalimbali, na tumekuwa tukisoma pamoja bila kunyoosheana vidole kwamba huyu ni mpentecoste, huyu mkatoliki, huyu muislam, huyu mlutheran, huyu mni nini na nin, hatuna hiyo.