MUUMINI: Nilimwomba mungu nipate hela ya kumalizia nyumba yangu iliyokwama lenta, asubuhi mtu alikosea kutuma muamala ukaingia kwenye simu yangu,Sasa hivi fundi anaendelea na na ujenzi...namshukuru mungu
MWAMPOSA: (Kwa sauti ya kukoroma) Mpigieni yesu makofi, ... Nani mtenda miujiza?
WAUMINI: (wote Kwa mbwembwe) Munguuuu!!
MIMI: π₯±ππ¦π€π.