Dini ni Chanzo cha watu kunyanyasika kwenye ndoa

Dini ni Chanzo cha watu kunyanyasika kwenye ndoa

Dini inataka mwanamke amtii mmewe,mume ampende mkewe.mume ni kichwa Cha familia,aliye asisi ndoa aliweka misingi isipofatwa ni lazima migogoro itokee.
Hapo kosa Sio dini bali wanadini kutofata miongozo.
Kwahiyo ikitokea mmojabwapo akawa anafuata dini ila mmoja akawa yuko tofauti na akawa mtu wa kumnyanyasa huyu ambaye anafuata dini je anatakiwa abaki akiteswa nabkunyanyaswa na imani yake na kuata imani yake
 
Back
Top Bottom