Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kitendo Cha kusema mlipuko wa uumbaji inaonyesha wazi hujui unalo lizungumzia
Akili hauna kwa hiyo wewe zuzu unadhani dhana ya big bang maana yake ni nini kisayansi .... maana wanasema kabla ya big bang hakukuwa na "time" tumia akili achakutumia kijambio au una undugu na sa100
 
Kumbe umejua nilichokuwa nineelewesha hapa[emoji1787][emoji1787] kuwa kuwapo hakutegemei haya maisha hapo umethibitisha kuwa mungu yupo tena milele ...vitu vyote ni energy kwa hiyo vilikuwako na vitakuwako milele kwa kuwa ni energy sasa kama energy inaweza ikawa mwanadamu mwenye ufahamu vipi tunasema hakuna mungu mwenye ufahamu .....ukweli ni kwamba mtu akijijua vizuri kuwa yeye ni nani ? awezi kusema mungu hayupo
 
Kuna msomi mmoja alishupaza shingo na kusema Mungu hayupo watu wakamwambia hana akili...msomi alikasirika sana kwa kuitwa hana akili akafoka na kusena anazo akili tena nyingi basi walewatu wakamwambia awaonyeshe akili zake jamaa akashindwa maana akili uthibitika kwa athari zake ndipo wakamwambia hata uwepo wa mungu unapimwa kwa kuangalia akili ya vitu vilivyo fanyika ...mfano mimekuambia ni biology ya viumbe hai ....tizama akili kubwa ya mfumo mzima wa biology ya binadamu umeumbika kwa mpangilio na akili kubwa je ....vipi vitu viumbike kwa mpangilio wenye akili kuwa kisha useme hakuna kitu chenye akili kubwa kilicho upangilia huo mpangilio ....
 
Ndio..coz bila binadamu Mungu hawezi exist..Mungu anamtegemea binadamu kuexist...Mungu angekuwa mkuu kuliko binadamu asingetegemea binadamu ili ajulikane angemtokea kila mtu..
Hayo uliyo sema ...mbona kasema hatayafanya na kila jicho litaona na kila goti litapigwa .
 
Sahihisha namba 2, hakukuwa na haja ya kujibu ikiwa hoja zangu zimekulemea.

Umba Jani lenye uhai sio mtu unaanza KUONGEA mambo ya demu wangu!

Dogo acha undezi...
 
Sahihisha namba 2, hakukuwa na haja ya kujibu ikiwa hoja zangu zimekulemea.

Umba Jani lenye uhai sio mtu unaanza KUONGEA mambo ya demu wangu!

Dogo acha undezi...
Watoto wa siku hizi hawana uwezo wa Kujibu hoja..
Wakiona hana cha kujibu basi jiandae kwa Tusi, Kashfa, Dharau na kebei...
Ila ukiona Hivyo ujue Dawa imemuingia ipasavyo na ameshindwa kupangua
 
We umeshashikwa relax endelea kushikwa. Umejiuliza kwa nini viongozi wa makanisa ni matajiri walio wengi , it is a business.
 
Ukiona nimepuuza kitu sio kwamba sikukisoma Bwana Mdogo ila nimekiona hakijatosha kuwa na ukweli...
Wowote na nimeona hakina Worth mimi kukizungumzia..
Ungekuwa umepuuza usingekosea aidha hukusoma nilichokiandika au umeenda kugoogle, ukaja na haya uliyo yaweka sababu, katika ukurasa huo umeorodhesha Talmud hizo mbili.
Nani Amesema imeanza karne ya 11AD, hapo ubaongelewa mgawanyo huo. Kingine acha pupa kijana soma kilicho andikwa kwa umakini. Hili kosa mara ya pili, mara ya kwanza hukusoma au hukusoma ukarudia nilichokiandika eti kwa lengo la kunipa ufafanuzi juu ya kitu nilichokiweka tayari.


Nimekwambia kwanza huwezi kwenda kutafuta Historia ya Wayahudi kwa Warabu...😅😅
Kidogo ningekuona Una karibiana na Ukweli ungeniambia baada ya 70 AD 😅😅..
Hii iletee ushahidi, Mtume aliishi na Mayahudi, na alioa Myahudi, maswahaba kadhalika waliishi nao hao watu, maana yake wanawajua na habari zao wanazijua bali wapo ambao waliingia katika Uislamu. Sasa Jenga hoja kijana.
Kutaja aina za Talmud hakuifanyi hiyo Doccuments kuwa sahihi...
Swali Talmud haijagawanyika sehemu mbili ? Jibu imegawanyika.
Sasa unakuja Kuzungumza kuhusu Karaite Jews watu ambao wamejitenga kwenye Jews karne ya 8..
Kijana hoja yako hapa Iko wapi ? Tuambie Sasa walio andika Talmud ni kina nani ? Kwanini hugusi hoja unaleta habari nyingine ambazo nikikuuliza maswali utashindwa kujibu ?
Na hapo ndo niliona sina haja ya kuendelea kujibu hiyo Doccuments uchwara yenye Full of contradiction...
Ajabu hujaonyesha udhaifu wake na hujaonyesha ukweli wa hizo zako ulizo zisoma.
Soma huo ukurasa vizuri hakuna sehemu imeandikwa kwamba Talmud imeanza kuwa decided mwaka 11AD. Kijana unakurupuka sana. Umetumia Tafsiri ya google nini kutafsiri huo ukurasa ? Wewe wa kupigwa makofi, yaani kitu kimeandikwa hivi wewe unaleta maneno yako mengine.
Kwanza Talmud sio النِّظَام Al-Nizam Talmud ni masimulizi ya Torah..
Ningekuona Unajua kama ungetaja Aggadah na Halakhah kama النِّظَام..
Muandishi Amesema Talmud katika lugha ya Kiarabu ni Utaratibu yaani Nidhamu. Ukisoma mbele Sasa ndio anaifafanua, umesoma huko mbele au umekurupuka ? Sasa kama nakuwekea mpaka maandishi husomi unaisoma nusu nusu utajadiliana nini na Mimi ? Sasa sitaki niwekee maneno yangu, soma tena maelezo katika huo ukurasa, sababu hayo unayo yasema yameabdikwa katika huo ukurasa na ziada kwa maana kazi hiyo ilifanywa na wanachuoni wao.
Kuna sehemu Nimeona imeandikwa
"وقد يخالف بعض نصوص التوراة"

(Wa qad yukhalifu ba'd nusus al-Torah)
Kwahiyo unataka kusema ya kuwa Talmud yote ni Taurati ? Kama hivyo basi hapakuwa na maana ya wao kuandika Talmud, Taurati ingewatosha tu.
Hebu nionyeshe vipengele vinavyoenda kinyume na Talmud..Au Talmud mahaki inapoenda kinyume na Torah
Kuwa serious kijana, katika huo huo ukurasa umeonyesha hivyo vipengele vinavyo tofautiana na Taurati. Nenda tena kagoogle au kamuulize mtu anaye jua Kiarabu akuonyeshe hivyo vipengele, maana vipo.

Maana ya kukuwekea marejeo ni kuwa usome neno kwa neno, kisha ujenge hoja, mara nyingi unakuwa unarudia kile ambacho nimekieleza. Sasa soma tena huo ukurasa.
Nenda ksome kuhusu Talmud Bado unatia Aibu sana kutaka kuelezea Talmud Kupitia wanazuoni wa Kiislamu..katafute Marabbi wakufundishe maana huna unalojua..
Huu ujinga wa tatu na ni kosa la kiufundi, mwanzo ulikuja kuelezea mgawanyo wa Talmud ambao katika huo ukurasa nilio kuwekea umeandikwa, Sasa hivi umetaka vipengele ambavyo katika huo ukurasa vimetajwa. Unatakiwa ujipange hasa ukifanya mjadala na Mimi.
 
Ukiona Nimepuuza Swali ujue Kwangu ni swali la kitoto na huwa sijihisi kujibu Maana ni kama kuwa Mtoto tu Umri wangu...nikiona Mtu ananiuliza swali la kitoto ni kama ananitukana
Sasa utoto uko wapi wakati unakuja tena kutoa maelezo ambayo nimeshayaeleza au yapo katika marejeo niliyo kuwekea. Mtoto hapa ni wewe, ambaye hauko makini. Unapuuzia jambo ambalo unakuja kulielezea mbeleni muda ambao Mimi nimeshalielezea, huu ndio utoto maradugu.
 
Siwezi kuwa kama wewe Kwasababu Mnajazwa Ujinga na Uongo...
Nilikataa kuwa hivyo Siwezi kujazwa Ujinga na uongo wakati ukweli nauona na naujua na naishi nao fumbua macho mdogo wangu bado una nafasi...
Sasa mbona umezidi kuwa mjinga kiasi hichi. Unajifanya unajua lugha za watu kumbe hata kusoma huwezi halafu unajenga hoja kwa lugha hiyo hiyo.
Unatka nikuthibitishie kwa Mantiki ipi..

Na hiyo inadhihirisha kwamba kutokutambua kabila la Yuda kunamaanisha hiyo elimu uliosoma yote Ni Bure..

Umeshindwa kujua Watawala.wote wa Waisrael walitoka kabila la Yuda?
Sauli,Daudi Suleiman na wengine?
Sasa kwa akili yako tu ndogo kabila la Yuda ndio Uyahudi ? Kitabu gani kinasema Uyahudi ulikuwa kabila ?
Naona Sasa umejaa,, hakuna mtu mwenye Taurati Leo hii, kwa maana ya Matini. Sasa let's ushahidi ya kuwa Hesabu ni katika Taurati.

Andiko uliloliweka halisemi ya kuwa Uyahudi ni kabila. Hapo wametajwa dhuria wa Yuda.

Nasubiri ushahidi unao onyesha ya kuwa Uyahudi ni kabila.
Umeona Neno Yehudhah hapo,..Ndiyo nadhani umeona..
Kwa kiswahili...
Yahudha ni jina la mtoto wa nabii Yakubu, na sio Uyahudi. Nataka uniwekee ushahidi nilio kuomba kwamba Uyahudi ni Kabila.
Sasa hii ndo sources ya kwanza kutoka kwenye Torah..
Zipo nyingi saaana ila kwa uelewa wako chukua hiyi kwanza..
Kingine usichokijua ni kuwa Taurati haipo Sasa hivi kama Matini, bali Kuna Ile kumbukumbu ya Taurati. Na andiko hilo bado halijaonyesha ya kuwa Uyahudi ni kabila.
 
Sasa hizi ni porojo, nimekupa Historia ambayo hujaipinga kwa hoja, unaleta dhana, na swali langu bado hujajibu, nataka uniwekee ushahidi ya kuwa Uyahudi ni kabila.

Umetoa maelezo mengi lakini ajabu haujajibu swali nililo kuuliza.
 
Subiri kwanza kijana, msingi wa hoja yangu ni katika maana ya dini, kwa maana Uyahudi ni dini, wewe ukapinga kwamba sio dini.

Sasa mpaka muda huu hujaonyesha ya kuwa Uyahudi si dini. Unapoteza muda kuandika mambo ambayo hayajibu swali langu. Huu ni utoto na kukosa umakini. Kingine hakuitwa Yahudi ni Yahudha, hili Yahudi umetoa wapi ?

Kingine hakuna aliyepinga hilo, mbona unaandika mambo nisiyo yahitaji kijana ?
 

Hapa nakujibu kwa jibu fupi sana, sio kila utawala ni utawala wa kifalme au sio kila aliye tawala ni mtawala. Ndio maana hukuti katika maandiko yoyote yanayo onyesha ya kuwa Rahbiam na Yarbiam walikuwa Wafalme zaidi ya walikuwa watawala tu.
 
maneno niliyowekea alama nyekundu humaanisha Yuda,Yehudi au Uyahudi au Yehudha..
Uyahudi hapa umeuweka wewe, hakuna kitu kama hicho katika maandiko yoyote si ya Kiswahili Wala ya lugha yoyote. Acha uzushi.
 
Hakuna sehemu yoyote Wala hutapata sehemu yoyote inayosema Uyahudi ni Kabila.
 
Sasa hizi ni porojo, nimekupa Historia ambayo hujaipinga kwa hoja, unaleta dhana, na swali langu bado hujajibu, nataka uniwekee ushahidi ya kuwa Uyahudi ni kabila.

Umetoa maelezo mengi lakini ajabu haujajibu swali nililo kuuliza.
Niliyotoa sio maelezo Ni aya Ndani ya TANAKH (Biblia ya kiyahudi) kitabu cha Hesabu..au Sefer Bemidbar
Na ikieleza na kwa bahati nzuri imetaja neno "wa kabila la Yuda"
Wewe umenipa Historia ulizotoa kwenye vigenge vya kahawa mtaani na Wanachuoni wa kiarabu..

Kwanza inaonekana hata hawajakufundisha vizuri..
waambie wakufundishe kwamba torati iliyopo ni Pentateuch...(VITABU VITANO)
na Kumbukumbu la torati ikiwa ni kimoja kati ya Vitabu vitano vya torati..


Hakuna hata sehemu moja nilipokujibu nimejibu kwa Maneno yangu

nimekupa sources ambyo iko very Respected na inayotegemewa na watu wote especiallly wanaotafuta historia ya Israel...
hakuna Mtu atataka historia ya Israel halafu akakwambia kasome Mwanachuoni wa Kiarabu ...
wakati TORAH ,NEVIM NA KETUVIM zipo kwenye Biblia....

Maswali yote yamejibiwa kwa Sources zinazokubalika other wise Mimi sio mbishani na mtu ambaye si mtu wa elimu...
 
Mkuu,

Mdefine Mungu, halafu toa ushahidi na uthibitisho kuwa yupo, na ushahidi/uthibitisho huo hakikisha hauwezi juwa hivyo isipokuwa tu kwa kutokana na kuwepo kwa huyo Mungu.

Ili na wewe usije kuingia katika mtego huo huo wa kuamini na kukubali Mungu/dini kwa imani tu bila ushahidi wala uthibitisho kama hao unaowatuhumu kufanya hivyo.

Usije kuwa unakataa dini zilizokuja ambazo tumezikubali bila ushahidi, wakati na wewe unakimbilia kwenye "mambo yetu" ambayo nayo pia hayana ushahidi wala uthibitisho.
 
Uyahudi hapa umeuweka wewe, hakuna kitu kama hicho katika maandiko yoyote si ya Kiswahili Wala ya lugha yoyote. Acha uzushi.
Unajua maana ya Yehudhi au unataka nikuonyesha sehemu kwenye biblia inapouta neno Uyahudi badala ya Yuda..

Lk 1:5​

Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

Mt 2:1-23​

Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema, Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi?

Ndo maana kuna Muda nimesema kuwa Muda mwingine ficha aibu yako mbele za watu...

Unajua kubishana na mtu ambaye hajasoma ni shida maana natumia nguvu nyingi sana..

Kuhusu Kabila..

Nakuongeza na Sources nyingine ili watu wengine wanielewewe maana najua wewe kwa akili yako.. sidhan

Kasome Kitabu cha historia ya Wayahudi kinaitwa Encyclopaedia Judaica ( version 5, Page 498)

Inasema hivi: “WATU WALIOCHAGULIWA, ni jina la kawaida la watu wa Israeli, linaloonyesha kwamba watu wa Israeli wana uhusiano wa pekee na usio na kifani pamoja na Mungu wa ulimwengu wote. Hilo ni wazo kuu katika historia ya kabila la Wayahudi.”
nakuongeza Sura zingine kwenye Torat na aya kwenye biblia..
nenda kasome Mwanzo (Bereshit) 49 yote.. anzia moja mpaka aya ya 28 ...
na aya ya 28 anamalizia baada ya kutaja kabila lote

Mwanzo 49:28​

Hizo zote ndizo kabila za Israeli kumi na mbili. Na hayo ndiyo aliyowaambia baba yao, na kuwabariki; mmoja mmoja kwa mbaraka wake aliwabariki....

Nafikiri wewe Umedhamiria kuwa mbishi tu nafikir Sasa nikuache tu maana ni kama natwanga maji kwenye kinu
 
Mkuu Mungu yupo
Why naamini hivyo?
biblia ambayo inasimulia uwepo wa Mungu imethibitika ni ya ukweli, why? imeelezea some prophetic events before zitokee na zikatokea
Biblia is not a book written by a single author, na pia haikuandikwa kwa wakati mmoja, iliandikwa vipindi tofauti , na utofauti wenyewe ni wa miaka mingi tofauti tofauti , waandishi wake hawakuishi kwa kipindi kimoja
but story(context) zao zinafanana.
Biblia inaeleza chanzo cha ulimwengu, pia inaeleza jinsi dhambi iliyoingia, na pia ukombozi uliotokea , na hata maandalizi yalivyofanyika kumkomboa mwanadamu hata kabla hajaumbwa
Biblia inaeleza binadamu atakufa na anakufa kweli, nadhani unaona
utata upo kidogo lakini sio wa kututoa kwenye reli
 
Hakuna sehemu yoyote Wala hutapata sehemu yoyote inayosema Uyahudi ni Kabila.
Nafikiri haya maswali nimeyajibu Najua yanaweza kuwa ni magumu kutokana na Elimu uliyosoma..
Ila ndo ukweli wenywe biblia maeneo mengi sana inaeleza kuhus kabila la wayahudi sasa sjui kabila ww mwenzangu unalichukuliaje labda unadhani kama wadigo hivi au? 🤣🤣
Hii yote inatokama na kuvishwa uongo mwingi mwisho wa siku unakuwa upumbavu kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…