Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Mimi niko kinyume na ulivyoweka: Binadamu ukianza kujiona you know it all - umeisha. Bado akili zetu ziko limited - wanasayansi wanejibu baadhi ya maswali, lkn sio maswali yote, usishangae ni 0.00000000000000......0001% ya mambo ambayo bado hatuyajui. Thus wenye akili na ma-genius - ni watu wenye hamu ya kujua vitu zaidi na ambao wanaamini kuna issues bado ni msystery..ndo maana tafiti hazijawahi kukoma. Dini bado inaencorprate hayo mambo ambayo bado hayaeleweki - imani.
 
Kanisa lilojengwa juu ya Mwamba imara litaanguka, Page sa msaafu zitachanika na kupeperuka lakini daima huu Uzi utasimama.
 
Back
Top Bottom