Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Kuna miaka fulani nilifanya kazi Hospitali 1 kubwa sana ya Kanisa ipo mikoanya Kaskazini kule, sasa pale wakaja doctors from USA kwa project moja hivi tukawa tunaoshi nao na tukazoeana kbsa bcoz program zao tulikua tunafanya pa1 sasa kuna Sister mmoja ni Mnigeria nae alikuwepo miongoni mwa wanaproject 1 day anawaambia wale wazungu Kesho ni muda wa kwenda Kanisani tena anawalazimisha kabisa (WANIGERIA SI MNAWAJUA WALIVYO WAKOROFI?) Wale wazungu wakamwitikia lkn kichwani mwao walikua wanamg’ong’a

Mmoja akanifata kuniambia Sr. Z anatuambia maneno ya kwenda Kanisani wakati anasema yeye sasa mzungu huyo “Mimi nina miaka 27 sikumbuki kanisani nilienda lini labda mama alinipeleka nikiwa mdogo” Mm sifagilii kabisa kuhusu hizo mambo😂 ndio utaamini waafrika wengi sisi ni makolo tunaamini mavitu tuliyomezeshwa ambayo yanatugharimu muda na hela nyingi sana
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Religion will in the future be replaced by humanism. i.e. dont do to others what you dont want to be done to you.
 
Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.

Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
Nimeipenda hii!
Inatakiwa upate ulinzi
 
Kuna watu ambao Hadi wanafariki hawataongea na Mungu Wala kusikia sauti yake. Lakini wengine wapo wengi tu ambao huisikia sauti yake na tena kuhojiana nae. Au wewe mwenyewe umewahi mshukuru Mungu kwakuzaliwa binadamu badala ya mbwa? Ni upendo wake kuwa hivi tulivyo. Biblia ingeandikwa na mwanadamu lazima angetaka ajulikane tu ili asifiwe. Tofauti Ni kwamba hata waandishi walihimiza utukufu kwa mwingine.
Kwamba Dr Luka aloandika Injili na Matendo ya Mitume ni mungu? Na ww katika karne hii unaamini kabisa kuna mtu anaongea na Mungu live? yale yaleee, eti Muhammad aliongea na kukabwa na malaika!! low minded people!
 
Wachina ndo maana wako mbali sana kiteknolojia, na wahindi nao wanasonga sana...sie bize kujaza matumbo ya kina Mwamposa eti tutakua Mamilionea. Eti mtu unatoa sadaka ya kujimaliza. Kuna maza katoa penseni yake yote...now analilia chooni! Low minded.
 
ivi mungu ni zaifu.? mbona watu ndo humtetea mungu na dini take watu nauwa wenzao walio ikataa dini kwakigezo eti wanatetea dini yamungu au huyo mungu sio muweza wa yote na Kuna mengi hawezi?
Kuna ule upugi, mtu kanunua kitabu cha dini, anaamua kukichoma au kukikojolea, halafu nchi nzima watu wanauana, wanachoma magari, nyumba n.k kisa eti mtu kachoma kitabu cha mungu...huu ni ujuha na ujinga wa viwango vya lami. Low minded kabisa. Dini zinatupumbaza badala ya kutusaidia
 
Kwa hivyo wewe unakubali mwanaume mwenzako akuwoe ?? maana inayokataza ni dini , wasiofuata dini wanaruhusu
Hiyo ni moral demand, sio dini. Mbona watu wa dini wanafanya huu uchafu? tuseme wamefunzwa na hizo dini? Kwenye dini hizo hizo kuna wazinzi, walevi, wafiraji na wadhambi wengine.

Hivi case ya Afande (muislam) alowatuma kina Clinton (mkristo) unaifuatilia? Dhambi haina dini wala jamii.

Dini ni low minded issue!
 
Atheist ni mtu asiye na imani ya Mungu.
Mambo ya kumuoa mama yako si katiba yako na Sheria za nchi zinakataza. Na kwani we mpaka mtu stand ya makumbusho akuhubirie kwamba usimle mama Ako ndo hautamla.. mbona unajishusha hadhi kutoka kua binadamu mpaka kua sijui mnyama Gani. So unabidi sheikh akuambie usali mara Tano kwa siku ndo hapo hutamtamani mama Ako.. bila wewe kuzaliwa dini ya mzee wako ungekuwa shoga, unakula mama dada
🤣Afu mbona umebase kwenye ngono tu...ndo akili yako ilipoishia. Inaonekana ndo unavyotaka unaumia watu wanafaidi..duu bac amini tu mungu sijui dini mama wa watu asiliwe
Huyu mwana anajichanganya! Yeye dhambi ni ngono ngono tu! anasahau kuwa hata kusema uongo tu ni dhambi.

Dhambi ni issue ya moral authority tu. Ile dhamiri ndo inatuambia lipi baya na lipi zuri, sio lazima uwe kwenye dini ndio ujue lipi baya au lipi zuri.
 
Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.

Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
Hahahaha aisee hili jibu hana hata umpe miaka alfu moja
 
Mtu Akiwa atheist ina maana haamini inachosema dini. Dini inakataza ushoga, kumwoa mama yako mzazi, dada yako nk Kwa hivyo unapoipinga dini ina maana unakubaliana na kuruhusika kuyafanya hayo yaliyokatazwa
Nikuulize, kabla ya dini kuwepo, watu ndo walikua wanafirana na kungonoka?
Acha kujichanganya. Tabia hizo ni za watu waovu ambao wamejaa kote, kwenye dini na nje ya dini.

Dini inakataza kusema uongo, wewe husemi uongo???

Low minded kabisa.

Atheism sio kutokuamini dini, Atheism ni kutokuamini imani yoyote ila kubase kwenye Fact and uhuru wa fikra, tafiti na kupata majibu kisayansi. Hizo imani za sijui majini na mashetani ni ushamba.
 
Tangu lini sayansi ikashindwa kutuambia chanzo cha binadamu na ulimwengu mkuu? Sayansi ina maelelezo ya kutosha kuhusu hili. Kasome topic ya evolution katika biology ya kidato cha nne.....imeweka wazi kila kitu kuhusu origin of man and the world.
You must be joking, sayansi haijawahi jibu suala la origin of life which starts and goes hand in hand with the question of origin of universe itself, what was there before the big bang? Hiyo form four ipi inajibu swali hili?
 
Nikuulize, kabla ya dini kuwepo, watu ndo walikua wanafirana na kungonoka?
Acha kujichanganya. Tabia hizo ni za watu waovu ambao wamejaa kote, kwenye dini na nje ya dini.

Dini inakataza kusema uongo, wewe husemi uongo???

Low minded kabisa.

Atheism sio kutokuamini dini, Atheism ni kutokuamini imani yoyote ila kubase kwenye Fact and uhuru wa fikra, tafiti na kupata majibu kisayansi. Hizo imani za sijui majini na mashetani ni ushamba.
Na Mimi nikuulize ni lini kulikuwa Hakuna dini ?
Jee ikiwa huna dini yaani huna kinachokukataza Zaidi ya Sayansi, Jee unaweza kuolewa na mwanamume mwenzako au kumwoa mama yako , Sayansi haisemi kitu kuhusu kutotaka au kuolewa
 
Hiyo ni moral demand, sio dini. Mbona watu wa dini wanafanya huu uchafu? tuseme wamefunzwa na hizo dini? Kwenye dini hizo hizo kuna wazinzi, walevi, wafiraji na wadhambi wengine.

Hivi case ya Afande (muislam) alowatuma kina Clinton (mkristo) unaifuatilia? Dhambi haina dini wala jamii.

Dini ni low minded issue!
Kwa hivyo kwenye atheism Hakuna moral demand au vipi , yaani ni uamuzi wako tu kuolewa na mwanamume mwenzako au kutoolewa?
Wenye dini wanaokwenda kinyume ziko sheria Za dini, Sasa kufuatwa na kutofuata ni topic nyengine
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Watu wasio na akili wanapenda sana kufarijiwa 😆😆
 
Sio kweli, walio gerezani kwa Tanzania 99% ni watu wa dini kubwa mbili. Pia kuna masheikh na mapadri wengi waliokamatwa kwa kesi za ulawiti.
Dini inakataza uovu, lkn sio kwamba mwanadini hawezi kutenda dhambi hasha! Ambacho kinaliliwa hapa Ni ile hofu yakutenda maovu na ambayo inatokana na Dola pamoja na Mungu. Mwanadamu bila contro Ni mnyama amini nakwambia. Chukulia huamini Mungu then unawatoto unawapa maadili yanayotokana na Nini? Sayansi au!!
 
Nakataa, mbona naona maprofesa wakipiga magoti mbele ya sanamu? Tena katika fani ya sayansi ambapo hawezi kuamini kuwa nyoka aliongea na binadamu!!!
 
Kilichoandikwa kwenye biblia kipo vile kilivyo na unaposoma biblia vizuri unakuta hata haya ambayo unayaona Ni makosa utakuta unayaelewa kwa upana wake. Utakuta wewe ndio mwenye makosa.
 
Back
Top Bottom