Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Hawa atheist ndo wale wanabaka watoto wao na kuwalawiti, coz hawana kinachowazuia kutenda hayo
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Na ndiyo maana nimewakataza wanangu kujihusisha na wapenzi wapendao dini kwani wengi wao uwa na akili finyu au ni machangu waliostaafu wamejikita kwenye dini kuficha uhalisia wao (umalaya). Wafuasi wengi wa dini ni kama usemavyo, hawana akili timamu, ni wanafiki, wana roho mbaya sana, na ndiyo maana wanachezewa akili na wachungaji wao.
 
Kuna watu ambao Hadi wanafariki hawataongea na Mungu Wala kusikia sauti yake. Lakini wengine wapo wengi tu ambao huisikia sauti yake na tena kuhojiana nae. Au wewe mwenyewe umewahi mshukuru Mungu kwakuzaliwa binadamu badala ya mbwa? Ni upendo wake kuwa hivi tulivyo. Biblia ingeandikwa na mwanadamu lazima angetaka ajulikane tu ili asifiwe. Tofauti Ni kwamba hata waandishi walihimiza utukufu kwa mwingine.
Alfu Lela ulela, Ndugu yangu kuzaliwa binadamu au mbwa sio issue, huenda hata mbwa nae anashukuru kuzaliwa mbwa na sio binadamu! Je unaweza kuthibitisha hayo Madai yako kuwa Kuna watu huongea na huyo mungu? Unajua je? Kwanini iwe baadhi? Mungu mbaguzi? Kwani tukikubali kuwa hatujui lolote kuhusu hii dunia Kuna ubaya gani? Kuliko kuhisi kusiko na uthibitisho wowote! Ni kama tunabeti vile😂😂
 
Atheist ni mtu asiye na imani ya Mungu.
Mambo ya kumuoa mama yako si katiba yako na Sheria za nchi zinakataza. Na kwani we mpaka mtu stand ya makumbusho akuhubirie kwamba usimle mama Ako ndo hautamla.. mbona unajishusha hadhi kutoka kua binadamu mpaka kua sijui mnyama Gani. So unabidi sheikh akuambie usali mara Tano kwa siku ndo hapo hutamtamani mama Ako.. bila wewe kuzaliwa dini ya mzee wako ungekuwa shoga, unakula mama dada
🤣Afu mbona umebase kwenye ngono tu...ndo akili yako ilipoishia. Inaonekana ndo unavyotaka unaumia watu wanafaidi..duu bac amini tu mungu sijui dini mama wa watu asiliwe

NI kitabu gani cha atheist au sheria ya atheist inakukataza wewe kuwa shoga AU KUMWOA MAMA YAKO AU DADA YAKO ???
 
Alfu Lela ulela, Ndugu yangu kuzaliwa binadamu au mbwa sio issue, huenda hata mbwa nae anashukuru kuzaliwa mbwa na sio binadamu! Je unaweza kuthibitisha hayo Madai yako kuwa Kuna watu huongea na huyo mungu? Unajua je? Kwanini iwe baadhi? Mungu mbaguzi? Kwani tukikubali kuwa hatujui lolote kuhusu hii dunia Kuna ubaya gani? Kuliko kuhisi kusiko na uthibitisho wowote! Ni kama tunabeti vile😂😂
Kuzaliwa binadamu au mbwa kwako sio ishu, lkn kwangu Ni ishu kubwa tu maana nawaongoza hao mbwa na wanajua Hilo.
So lazima niwe proud. Kwani wewe hupendi kuwa rais?
Ni madaraja japo kila kiumbe anaraha yake ambayo Mungu kamjalia.
Wewe umeshapotoka akili kwakumkufuru Mungu, so hata niongee lugha ya malaika bado hutanielewa, nachosha mikono yangu.

Kuongea na Mungu hii Ni maranyingi sana, kwani nawezaje kukuthibitishia kwamba niliongea nae? Tutarudi kulekule kwenye imani kwamba Ni lazima uniamini tu kuwa aliongea na mimi.

Unadai kwa Nini iwe baadhi. Nitatoa mfano kwenye biblia; nafasi ya usaliti ilikuwepo tu kwamba yesu lazima atasalitiwa. Lkn Ni nani atamsaliti Kati yawale mitume kumi na mbili? Endapo Petro angekuwa na upumbavu moyoni huenda angechukua nafasi ya usaliti. Lakini alichukua yuda kwa ujinga wake wakutozingatia mafundisho. So, hata wewe usipozingatia; sauti ya Mungu utaisikilizia radio Maria tu.

Mungu sio mbaguzi kwani kila mmoja humpa kwa sehemu. Umepata uhai bure, hujatoa hata kumi lkn bando unanunua na bado unamtukana Mungu. Ilikubidi ushukuru tu kwa zawadi ya uhai pekee. Lkn wewe huna shukrani. Unafosi ziada wakati kunabaadhi wanasumbuka mahospitali na bado wanamtegemea Mungu.

Sio kwamba hatujui lolote kwenye dunia hapana, hata kuandika hujui? Kuhisi Ni njia moja wapo ya ubongo kuona vitu kwenye ulimwengu wa hisia. Masikio Ni njia mojawapo ya ubongo kuona vitu kwenye ulimwengu wa sauti. Pua Ni njia ya ubongo kuona vitu kwenye ulimwengu wa harufu. Sasa inatategemea namna ambavyo ubongo wako unatumia njia gani kuonana na Mungu. Kama Ni kwa njia ya macho na Mungu hataki huwezi kumuona. Ubongo wako utaendelea kuwepo na Mungu ataendelea kuwepo lkn havitaonana kamwe.

Lakini gepu linalozuia ubongo wako usionane na Mungu Ni dhambi. Dhambi ikiondoka lazima tu umuone Mungu na usipomuona acha kusali.
 
NI kitabu gani cha atheist au sheria ya atheist inakukataza wewe kuwa shoga AU KUMWOA MAMA YAKO AU DADA YAKO ???
🤣🤣🤣 Atheists hatuna vitabu tunaishi kwa utu, ubinadamu na Sheria za nchi. We unamsema shoga afu unachepuka kwa mke wako.. mna tofauti Gani. Kama hapo juu Kuna mtu kasema watu wa dini ni wanafki. Mnasemana na wote mna dhambi Cha muhimu kuishi kibinadamu. We kama unahitaji Sheria itungwe ili usibake mama Ako we sio binadamu mwenzetu tena
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nasubiria mwenyewe acomment
 
ivi mungu ni zaifu.? mbona watu ndo humtetea mungu na dini take watu nauwa wenzao walio ikataa dini kwakigezo eti wanatetea dini yamungu au huyo mungu sio muweza wa yote na Kuna mengi hawezi?
Kuweza kila kitu hakuna maana ufanye kila unachokiweza kisa unaweza kufanya.
 
Mungu sio mbaguzi kwani kila mmoja humpa kwa sehemu. Umepata uhai bure, hujatoa hata kumi lkn bando unanunua na bado unamtukana Mungu. Ilikubidi ushukuru tu kwa zawadi ya uhai pekee. Lkn wewe huna shukrani. Unafosi ziada wakati kunabaadhi wanasumbuka mahospitali na bado wanamtegemea Mungu.

Sio kwamba hatujui lolote kwenye dunia hapana, hata kuandika hujui? Kuhisi Ni njia moja wapo ya ubongo kuona vitu kwenye ulimwengu wa hisia. Masikio Ni njia mojawapo ya ubongo kuona vitu kwenye ulimwengu wa sauti. Pua Ni njia ya ubongo kuona vitu kwenye ulimwengu wa harufu. Sasa inatategemea namna ambavyo ubongo wako unatumia njia gani kuonana na Mungu. Kama Ni kwa njia ya macho na Mungu hataki huwezi kumuona. Ubongo wako utaendelea kuwepo na Mungu ataendelea kuwepo lkn havitaonana kamwe.
Ndugu yangu hapo kwenye red unaposema tumepata uhai bure unamaanisha nn? Hivi naomba nikuulize, Kati ya alieumba na muumbwaji ni nani alikuwa na uhitaji wa mwenzie kiasi kwamba uniambie uhai nimepewa bure! Kwani mimi ndie nilipanga nipewe huo uhai? Aliyeumba ndie alipanga iwe hivyo!

Paragraph ya pili hapo unadai kuwa sio kweli kuwa hatujui lolote kuhusu hii dunia, kama ni hivyo naomba unijibu haya maswali:chanzo cha uhai ni nini, binadamu alitokea wapi ilikuwa je hadi dunia ikawa hivi, alietengeneza alitokea wapi, tukifa nini kinafuata, kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi! Naomba nijibu bila ya mihemko ya kidini na kiimani. Harafu ni wapi nimemtukana?
 
🤣🤣🤣 Atheists hatuna vitabu tunaishi kwa utu, ubinadamu na Sheria za nchi. We unamsema shoga afu unachepuka kwa mke wako.. mna tofauti Gani. Kama hapo juu Kuna mtu kasema watu wa dini ni wanafki. Mnasemana na wote mna dhambi Cha muhimu kuishi kibinadamu. We kama unahitaji Sheria itungwe ili usibake mama Ako we sio binadamu mwenzetu tena
Kwani wewe kama atheist ni upi ubaya wa wewe kujamiana na mama ako?
 
🤣🤣🤣 Atheists hatuna vitabu tunaishi kwa utu, ubinadamu na Sheria za nchi. We unamsema shoga afu unachepuka kwa mke wako.. mna tofauti Gani. Kama hapo juu Kuna mtu kasema watu wa dini ni wanafki. Mnasemana na wote mna dhambi Cha muhimu kuishi kibinadamu. We kama unahitaji Sheria itungwe ili usibake mama Ako we sio binadamu mwenzetu tena
Sheria Za nchi Za Ulaya na Marekani zimeruhusu ushoga , Jee wewe unaweza ukaolewa na mwanamume mwenzako ?
Mbona kuna nchi Kama India maparisi wanaoa Dada zao? Wala sio ishu? Jee wewe ateist usiye na sheria Za dini unaweza kufanya hivyo?
Kuchepuka kuna adhabu zake kwenye dini , kwa vile dini inapigwa vita na watu Kama nyinyi inakuwa vigumu kutekelezeka.
 
Imani chanzo chake Ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu. Ufalme wake umo ndani yetu kwahiyo lazima tumtangaze
asa mbona mnauwana ndo kaagiza ivo muuwane kisa dini take asa siaseme tu dini take niipi Kisha ulimwengu wote tufuate.? alafu ndani ipi bhan embu acheni utapeli
 
Ndugu yangu hapo kwenye red unaposema tumepata uhai bure unamaanisha nn? Hivi naomba nikuulize, Kati ya alieumba na muumbwaji ni nani alikuwa na uhitaji wa mwenzie kiasi kwamba uniambie uhai nimepewa bure! Kwani mimi ndie nilipanga nipewe huo uhai? Aliyeumba ndie alipanga iwe hivyo!

Paragraph ya pili hapo unadai kuwa sio kweli kuwa hatujui lolote kuhusu hii dunia, kama ni hivyo naomba unijibu haya maswali:chanzo cha uhai ni nini, binadamu alitokea wapi ilikuwa je hadi dunia ikawa hivi, alietengeneza alitokea wapi, tukifa nini kinafuata, kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi! Naomba nijibu bila ya mihemko ya kidini na kiimani. Harafu ni wapi nimemtukana?
Mungu ndiye alikuwa na uhitaji na mwanadamu. Sasa Kama ulitii kuupokea uhai kwa kuishi, kwanini usigome kuupokea kwa kujiua? Na Kama unagoma kujiua, ni dhahiri unatii kwa kuishi. Hivyo basi, unapaswa kuendelea kutii hivyohivyo kwa hata Yale ambayo yapo nje ya uwezo wa akili yako.

Chanzo Cha uhai ni Mungu. Mwanadamu pia ameumbwa na Mungu. Jambo linalotuchanganya zaidi wanadamu Ni kifo.

Sababu kifo ndicho pia kinachopelekea kuwepo kwa watu wanaojiita atheists. Na hii inatokana na hali kama ya kisasi hivi, baada yakushindwa juu ya ufumbuzi wa tatizo la kifo.
Kifo kilitokana na hali ya mwanadamu kutokutii agizo la Mungu, au kukiuka sheria ya uhai. Mungu alipoweka amri, dhambi nayo ilipata nafasi ya kuishi, Kisha ikafanya kila namna ya kutamani ndani yangu ikanidanganya na kwa hiyo ikaniua.

Huo ndio mwanzo wa kifo mpendwa. Maswali yako mengine nitakujibu baada ya kujua utahitaji nikujibu kwa uelewa wangu au kupitia maandiko.
 
asa mbona mnauwana ndo kaagiza ivo muuwane kisa dini take asa siaseme tu dini take niipi Kisha ulimwengu wote tufuate.? alafu ndani ipi bhan embu acheni utapeli
Suala la kuuana nafikiri Ni mambo ya unabii. Kuna mambo lazima yatokee kukamilisha unabii. Kingine vita vinatokea sababu ile ardhi Kama Mungu mwenyewe aliwapa Israel lazima vita itokee tu, maana Mungu hupenda kujidhihirisha kupitia ubishani Kama ule ili kupata utukufu wake.
 
Back
Top Bottom