Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walioleta hii 'dhahania' hawana time nayo sasa, ila tuloletewa sasa...hatutaki kustukaHebu fikiria kwa makini kuhusu "mbinguni na motoni " ni mbinu tu za hawa wemye makampuni ya dini ili kutishia watu hasa wale wa dunia ya tatu.
Haya weka Contradictions hata mbili tu nianze nazo.Kama kumjua Mungu hakuhitaji akili za binadamu wewe umemjua kwa akiki gani, za popobawa?
Biblia ina contradiction kibao, nikikuwekea hapa huwezi kuzitatua.
Bisha.
Utawezaje kuiona mbingu au motoni wakati haziko kwenye huu ulimwengu wa 3D?Hebu fikiria kwa makini kuhusu "mbinguni na motoni " ni mbinu tu za hawa wemye makampuni ya dini ili kutishia watu hasa wale wa dunia ya tatu.
Zipo ulimwengu upi?Utawezaje kuiona mbingu au motoni wakati haziko kwenye huu ulimwengu wa 3D?
Unasema kifo ndio mwisho je unajua kifo amekileta Nan? mpaka uwe mwisho wetuYes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Well said!!Ukiwa mwongo ujue namna ya kuwa na kumbukumbu. China hawana dini..? Nachojua china wana dini yao.
Halafu pia kuna wana sayansi km albert eistein walikua na imani kubwa saana kwa Mungu.
Soo hata sayansi inategemea imani ili kuwa na nia ya kutafuta chanzo mpaka hitimisho.
Dini ni ya watu wenye akili sema vichaa ndio hawana dini
Uko sahihiMkuu miongoni mwa watu wenye upeo mkubwa wa kujibu maswali yanayotatiza miongoni mwa watu na kuonekana kana kwamba hayawezi kujibika ww umeweza kuyajibu kwa usahihi zaidi..
Kuhusu sayansi haiwezi kujibu mambo yote kuhusiana na maisha.
Ikiwa leo kila kitu kinajiendesha kwa utaratibu uliopangwa kwa maana yupo mpangaji(muanzilishi) itawezekanaje kila kitu kwa dunia?
Maana ukisema hakuna dini ni sawasawa na kusema hakuna muumba.
Swali la msingi ni kujua tu ni ipi dini sahihi na ipi sio sahihi, hapa ndipo panapohitajika tafiti za kielimu pasina kuendeshwa na utashi wa nafsi.
Kuna watu ambao Hadi wanafariki hawataongea na Mungu Wala kusikia sauti yake. Lakini wengine wapo wengi tu ambao huisikia sauti yake na tena kuhojiana nae. Au wewe mwenyewe umewahi mshukuru Mungu kwakuzaliwa binadamu badala ya mbwa? Ni upendo wake kuwa hivi tulivyo. Biblia ingeandikwa na mwanadamu lazima angetaka ajulikane tu ili asifiwe. Tofauti Ni kwamba hata waandishi walihimiza utukufu kwa mwingine.Mchanganyo wa Quran unaanzia pale aliposhushiwa Muhammad ili aje atusambazie Dunia nzima! Harafu humohumo kwenye Quran imeandikwa Kwa kumsifia Mungu Ni mwenye haki na usawa asiye na ubaguzi right?sasa ilikuwaje ampe mtu mmoja habari muhimu kama hizi za kumjua yeye na Sheria zake ili aje atusambazie na sie !inashangaza Sana, hii Ni sawasawa uwe na watoto sita Kisha unaamua kumpenda na kumsomesha mtoto mmoja huku uwezo wa kuwasomesha wote unao huu ni ubaguzi ambao hata kibinadamu tu ni impossible! kitu kingine tutamuaminije Muhammad kama kweli alishushiwa na Mungu Hayo maandiko ya Quran pasi na Shaka?hii mikanganyiko ya kuhusu Dini aliyeileta Ni Mungu mwenyewe Kwa kuleta ubaguzi kwenye kufikisha taarifa utampaje mtu mmoja na duniani tuko billions of people?dini zote ni ujanja ujanja tu tupo kama tunapiga ramli Hakuna mwenye uhakika😁😁
ivi mungu ni zaifu.? mbona watu ndo humtetea mungu na dini take watu nauwa wenzao walio ikataa dini kwakigezo eti wanatetea dini yamungu au huyo mungu sio muweza wa yote na Kuna mengi hawezi?Kuna watu ambao Hadi wanafariki hawataongea na Mungu Wala kusikia sauti yake. Lakini wengine wapo wengi tu ambao huisikia sauti yake na tena kuhojiana nae. Au wewe mwenyewe umewahi mshukuru Mungu kwakuzaliwa binadamu badala ya mbwa? Ni upendo wake kuwa hivi tulivyo. Biblia ingeandikwa na mwanadamu lazima angetaka ajulikane tu ili asifiwe. Tofauti Ni kwamba hata waandishi walihimiza utukufu kwa mwingine.
Imani chanzo chake Ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu. Ufalme wake umo ndani yetu kwahiyo lazima tumtangazeivi mungu ni zaifu.? mbona watu ndo humtetea mungu na dini take watu nauwa wenzao walio ikataa dini kwakigezo eti wanatetea dini yamungu au huyo mungu sio muweza wa yote na Kuna mengi hawezi?
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Hili limeingiaje ? Mtu akiwa atheist na ushoga wapi na wapi?Kwa hivyo wewe unakubali mwanaume mwenzako akuwoe ?? maana inayokataza ni dini , wasiofuata dini wanaruhusu
Hili limeingiaje ? Mtu akiwa atheist na ushoga wapi na wapi?
🤣Watu mnaforce kuchangia mada kwa kupenyeza ushoga tu
Atheist ni mtu asiye na imani ya Mungu.Mtu Akiwa atheist ina maana haamini inachosema dini. Dini inakataza ushoga, kumwoa mama yako mzazi, dada yako nk Kwa hivyo unapoipinga dini ina maana unakubaliana na kuruhusika kuyafanya hayo yaliyokatazwa