Baadhi ya wanasayansi bana!!!! Wakifanikiwa kugundua kitu/siri/principle wanasema ni FACT..lkn kipindi wanahangaika kujua hicho kitu walikataa uwepo wacho sababu bongo zao zilikuwa hazipata uelewa wacho. Je, kuna siri ngapi ambazo bado hazijajulikana?? Angalia maisha yalivyokua 100 yrs back na sasa - kuna mambo mengi yalikua yanaonekana ni myth tu..but now ni realty, na hii situation haikumaanisha kwamba sababu hawajui au hatujaelewa basi vitu havipo.
Pia kuna dini na dhehebu..watu mnaongelea madhehebu (RC,Walokole, Waisalam -Shia, Sunni, Hindu n.k.).
Dini inatusaidia kujua kuwa kuna supreme being/ Mungu ambaye ndio source ya kila kitu...
Science ni njia mojawapo ya jinsi Mungu anazidi kujidhirisha kwetu na ukuu wake..
Kumbuka wanasayansi ni wavumbuzi tu - watu wanaoweza kuunganisha dots wakapata uelewa fulani ukasaidia maisha.