Ukiona nimepuuza kitu sio kwamba sikukisoma Bwana Mdogo ila nimekiona hakijatosha kuwa na ukweli...
Wowote na nimeona hakina Worth mimi kukizungumzia..
Ungekuwa umepuuza usingekosea aidha hukusoma nilichokiandika au umeenda kugoogle, ukaja na haya uliyo yaweka sababu, katika ukurasa huo umeorodhesha Talmud hizo mbili.
Hayo maelezo yako kuhusu Talmud 😅😅 ni ya kitoto sana.. unaweza ukamnasa Mbumbumbu asiyezijua hizo Dini na Propaganda zake..
Kwanza Talmud haikuanza katika karne ya 11 AD, Ni mpuuzi tu ndo anayeweza kusema hivyo..
Na kama ndvyo wanavyowafundisha hivyo basi wanaongeza watu wasio na elimu huku mkijisifu mna elimu...
Nani Amesema imeanza karne ya 11AD, hapo ubaongelewa mgawanyo huo. Kingine acha pupa kijana soma kilicho andikwa kwa umakini. Hili kosa mara ya pili, mara ya kwanza hukusoma au hukusoma ukarudia nilichokiandika eti kwa lengo la kunipa ufafanuzi juu ya kitu nilichokiweka tayari.
Nimekwambia kwanza huwezi kwenda kutafuta Historia ya Wayahudi kwa Warabu...😅😅
Kidogo ningekuona Una karibiana na Ukweli ungeniambia baada ya 70 AD 😅😅..
Hii iletee ushahidi, Mtume aliishi na Mayahudi, na alioa Myahudi, maswahaba kadhalika waliishi nao hao watu, maana yake wanawajua na habari zao wanazijua bali wapo ambao waliingia katika Uislamu. Sasa Jenga hoja kijana.
Kutaja aina za Talmud hakuifanyi hiyo Doccuments kuwa sahihi...
Swali Talmud haijagawanyika sehemu mbili ? Jibu imegawanyika.
Sasa unakuja Kuzungumza kuhusu Karaite Jews watu ambao wamejitenga kwenye Jews karne ya 8..
Kijana hoja yako hapa Iko wapi ? Tuambie Sasa walio andika Talmud ni kina nani ? Kwanini hugusi hoja unaleta habari nyingine ambazo nikikuuliza maswali utashindwa kujibu ?
Na hapo ndo niliona sina haja ya kuendelea kujibu hiyo Doccuments uchwara yenye Full of contradiction...
Ajabu hujaonyesha udhaifu wake na hujaonyesha ukweli wa hizo zako ulizo zisoma.
Sasa nisikilize
Karaite walijitenga karne ya 8 AD wakasema wao wanaweza kutafsiri Torah bila msaada wa Talmud na narrative yoyote..
Kijidoccument chako kinasema Talmud imeanza kuwa decided karne ya 11 AD na wayahudi..
Sasa hao Karaite walijitenga kabla ya Talmud halafu baadae Talmud ikaja baada ya kujitenga..
Full of contradiction...
Soma huo ukurasa vizuri hakuna sehemu imeandikwa kwamba Talmud imeanza kuwa decided mwaka 11AD. Kijana unakurupuka sana. Umetumia Tafsiri ya google nini kutafsiri huo ukurasa ? Wewe wa kupigwa makofi, yaani kitu kimeandikwa hivi wewe unaleta maneno yako mengine.
Kwanza Talmud sio النِّظَام Al-Nizam Talmud ni masimulizi ya Torah..
Ningekuona Unajua kama ungetaja Aggadah na Halakhah kama النِّظَام..
Muandishi Amesema Talmud katika lugha ya Kiarabu ni Utaratibu yaani Nidhamu. Ukisoma mbele Sasa ndio anaifafanua, umesoma huko mbele au umekurupuka ? Sasa kama nakuwekea mpaka maandishi husomi unaisoma nusu nusu utajadiliana nini na Mimi ? Sasa sitaki niwekee maneno yangu, soma tena maelezo katika huo ukurasa, sababu hayo unayo yasema yameabdikwa katika huo ukurasa na ziada kwa maana kazi hiyo ilifanywa na wanachuoni wao.
Kuna sehemu Nimeona imeandikwa
"وقد يخالف بعض نصوص التوراة"
(Wa qad yukhalifu ba'd nusus al-Torah)
Kwahiyo unataka kusema ya kuwa Talmud yote ni Taurati ? Kama hivyo basi hapakuwa na maana ya wao kuandika Talmud, Taurati ingewatosha tu.
Hebu nionyeshe vipengele vinavyoenda kinyume na Talmud..Au Talmud mahaki inapoenda kinyume na Torah
Kuwa serious kijana, katika huo huo ukurasa umeonyesha hivyo vipengele vinavyo tofautiana na Taurati. Nenda tena kagoogle au kamuulize mtu anaye jua Kiarabu akuonyeshe hivyo vipengele, maana vipo.
Maana ya kukuwekea marejeo ni kuwa usome neno kwa neno, kisha ujenge hoja, mara nyingi unakuwa unarudia kile ambacho nimekieleza. Sasa soma tena huo ukurasa.
Nenda ksome kuhusu Talmud Bado unatia Aibu sana kutaka kuelezea Talmud Kupitia wanazuoni wa Kiislamu..katafute Marabbi wakufundishe maana huna unalojua..
Huu ujinga wa tatu na ni kosa la kiufundi, mwanzo ulikuja kuelezea mgawanyo wa Talmud ambao katika huo ukurasa nilio kuwekea umeandikwa, Sasa hivi umetaka vipengele ambavyo katika huo ukurasa vimetajwa. Unatakiwa ujipange hasa ukifanya mjadala na Mimi.