Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Usiseme mungu sema energy ilitoka wapi maana pasipo energy hakuna mungu wala chochote kwa sababu hata mungu ni energy (roho)
Wewe si ulisema Energy imekuwepo milele halafu tena unasema Mungu kaumba Dunia?

Kivipi?

Kama dunia na yenyewe ni energy, pia ipo milele.
 
Wewe si ulisema Energy imekuwepo milele halafu tena unasema Mungu kaumba Dunia?

Kivipi?

Kama dunia na yenyewe ni energy, pia ipo milele.
Kila kitu kipo milele hata wewe ulikuwepo milele hakuna kinacho oza wala kuteketea ila vinabadilika tu hii ni kisanyansi pia ila nimesema art of energy ndiyo uumbaji wa mungu
 
Kila kitu kipo milele hata wewe ulikuwepo milele hakuna kinacho oza wala kuteketea ila vinabadilika tu hii ni kisanyansi pia ila nimesema art of energy ndiyo uumbaji wa mungu
Mungu huyo aliumbwa na nani?
 
Mungu huyo aliumbwa na nani?
Mungu siyo art of energy sisi ndiyo art of energy God is pure energy ajaumbwa yupo milele...mnanichosha endeleeni kujifunza wenyewe mtajua ninacho sema god is the pure energy (nuru halisi)
 

Basi wewe unataka kutuyumbisha kwa kusema Mungu hayupo kwa kuwapongeza Atheists. Na kama ni hivyo niambie saali hili tu na roho yangu itatulia: Mwanzo au asili ya viumbe wote na taratibu zao za maisha nani aliweka iwe hivyo. Ndege dune anamjua ndege jike, ndege jike anawajua watoto wake na hata kuwatebgebezea kiota na kuwaficha ili adui asiwaone hadi wanakuwa wakubwa na kuanza kuruka n.k.
 
Basi wewe unataka kutuyumbisha kwa kusema Mungu hayupo kwa kuwapongeza Atheists. Na kama ni hivyo niambie saali hili tu na roho yangu itatulia:

Mwanzo au asili ya viumbe wote na taratibu zao za maisha nani aliweka iwe hivyo.
Hakuna mwanzo wa viumbe wala hakuna aliyeweka viumbe duniani.

Kama ulazima wa kwamba viumbe vina mwanzo na kwamba vimewekwa hata Mungu huyo lazima awe na mwanzo.

Mungu huyo hawezi kutokea tu from nothing akawa mwanzo wa viumbe na dunia.

Je Mungu huyo kabla ya kuumba Dunia na viumbe alikuwa wapi?

Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Ndege dune anamjua ndege jike, ndege jike anawajua watoto wake na hata kuwatebgebezea kiota na kuwaficha ili adui asiwaone hadi wanakuwa wakubwa na kuanza kuruka n.k.
 

Kwa hiyo huyo mtoto wako ambaye unamvalisha hadi pampasi au ulivyovalishwa wewe hadi ukajakuwa mtu mzima unajitambua na kuandika haya, unataka kusema mtu au watu wawili wa kwanza duniani walitoka wapi? Walikikuza wenyewe from nowhere au ilikuwaje , maana mtoto hukuzwa mpaka aje awe mtu mzima. Je, yule mtu wa kwanza alijikuzaje na alitoka wapi? Jobu hapo tu!
 
Mtoa mada nafikiri unachanganya dini na Mungu, dini ni namna kikundi fulani cha watu kinavyotafsiri jinsi Mungu (au Miungu) alivyo na namna ya kuishi kuendana na maagizo ya Mungu huyo.
Dini hasa ya kikristo ni dini ambayo imekuwa ikitumika na watu wachache wanaoibuka huko wanakotoka na kudanganya watu kutokana na tafsiri ya biblia au mazingaombwe wanayofanya. Watu wengi huchukuliwa kiakili na chochote wanachoambiwa kwa sababu huaminishwa kuwa ndivyo Mungu atakavyo na kujaribu kufikiri au kuuliza kinyume na hapo ni makosa (au hata kufuru) hivyo watu huingiwa na woga na kujikuta wakienda kama kondoo wakifanya na kuamini chochote wanachoambiwa.

Mungu ni kitu kingine na amekuwa akitafsiriwa tofauti tofauti katika nyakati tofauti na watu tofauti kujaribu kupata kupata hasa ya sababu ya kwanini vitu vilivyo jinsi vilivyo?, sababu ya uhai na maisha, tabia na uhusiano wa vitu tofauti tofauti unaowezesha vitu vyote hivi viweze kutegemeana na kufanya kazi bila kuharibu kitu.

Nionavyo mimi, bado sisi kama binadamu hatujaweza kupata majibu ya haya maswali na hvyo kusema Mungu hayupo bila kuwa na majibu ya maswali ni uongo, ingawa nakubaliana kwamba kuendekeza sana dini na kupenda miujiza bila jitihada inatugharimu sana.
 
Hakuna mtu wa kwanza.

Hakuna sehemu yeyote Binadamu alipotokea.

Binadamu amekuwepo milele hana mwanzo wala mwisho.

Hakuna wakati ambao Binadamu hakuwepo halafu ghafla akawepo.
 
Nimemsoma bandiko lake, kimsingi anakosa hoja.

Endelea kumpa dozi labda atafuta ujinga
 
Mungu siyo art of energy sisi ndiyo art of energy God is pure energy ajaumbwa yupo milele...mnanichosha endeleeni kujifunza wenyewe mtajua ninacho sema god is the pure energy (nuru halisi)
Pure energy ndio nini?
 
Watu wanauliza maswali ya kitoto sana.
Ndio average IQ ya wafia dini au shule ni ndogo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚so mbinguni Kuna vip business class na economy...naomba yaishe...una visingizio vingi bro
 
Mimi sio muumini sana wa dini, Ila je Kipi hakikuja na meli Africa hii ?? Kila kitu kililetwa na hao...Mavazi, Elimu, teknolojia. Kipindi hiko babu yako anakula matunda porini na nyama pori wala hana anachokijua
Acha uwongo ... kulikuwa na civilization kibao tu Africa kabla ya wazungu...tofauti hatukuwa na viwanda vya kutengeneza sijui bunduki cjui Nini ila tulikuwa hatuishi maporini...nyumba tulijenga..biashara tulifanya kulima tulilima so acha kudharau...kingine issue sio kuja na boti ..elimu imetusaidia mpaka Leo tunaiapply na walitunyima elimu walitupa ya kuwatumikia tu...ila dini wamekuja nayo kulainisha mioyo ya waafrika kukubali kuonewa ili future waende mbinguni...mwafrika akalewa nayo mpaka Sasa...
 
Niambie ..Sayansi ni Nini, unadhani Sayansi ni kitabu kimoja ambacho kinasema hivi na hivi na hakibadiliki Kama bible... ama..unavyosema Sayansi imesema binadamu ana chanzo unatoa wapi hii statement.. ni sawa niseme geography inasema mlima Kilimanjaro ni mrefu Africa... wat kind of statement is that...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…