Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kakimbia[emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sikunyingine usirudie kubishana na jiniusi tafuta mapimbi wenzio ubishane nao
 
Science is a process, energy is not a process. Mpaka hapo ushafeli.
Kibwengo how proccess inaweza kufanyika pasipo energy? Ina maana hata maana ya energy is the capacity of doing work hujui [emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
So you dont believe in Spiritual power ? Kwamba tangu akina nabii Mussa (Moses) wote ni usanii ?
Neno "spirit" ndiyo neno "energy" hivyo energy power is real...
Kidini ni spirit na kisayansi ni energy
Tumia akili
 
Sayansi hadi leo imeshindwa kutengeneza ama kuhuisha uhai wa kiumbe chochote kile.

Hadi leo bado hawajajua ni nguvu gani ilitengeneza universe, na bado hawajui kama ni sisi tu ndiyo tunaishi hapa ulimwenguni ama kuna ulimwengu mwingine.

Kifupi sayansi imefikia 3% tu ya ukweli wa siri za uumbaji wote.

Kama NASA wenyewe wanadiriki kusema kuna source ya creation ya mambo yote haya je wewe ni nani.
 
Hata asilimia 0% sayansi aijafikia usicheze na ulimwengu
 

Hii ina ujusiano gani na Dini/Mungu?
 
Kivipi mimi ni jinius haswa ninacho sema mungu yupo si kwasababi ya dini hata pasipo dini mungu yupo hata wanasayansi wakubwa na wenye akili wote wamesha jua mungu ni nani na ni nini ...no God no nothing

Mungu ni WEWE kwasababu umemtengeneza kichwani kwako baada ya kuwa brainwashed
He only exists in your head
 
Sayansi ni nini na kwa nini kama imeshindwa kujibu maswali yote leo jambo hilo liwe doa linaloifanya sayansi iwe kitu duni?

Umeona mazungumzo ya awali kuhusu hili swali post #1248 ?

 
Dogma
 
Hizi hoja zako unafikiria kabla haujaandika ?
 
Wao (waliogundua na believed in God) na wewe (ambaye unajisemeasemea tu), who is most intelligent?
 
Hii ina ujusiano gani na Dini/Mungu?
Hawa watu wengi sana wana mawazo ya "one track mind".

Yani ukiwabishia uwepo wa Mungu tu, tayari wanakuweka kwenye sayansi, wengine wanakuchagulia mpaka sayansi gani na kukupa big bang.

Wakati, ukikanusha uwepo wa Mungu, umekanusha uwepo wa Mungu tu, wala huhitaji kuipigia chapuo sayansi ili ukanushe uwepo wa Mungu.

In fact, unaweza kutumia mantiki kukataa uwepo wa Mungu na kuonesha mapungufu ya sayansi.

Na unaweza kukanusha uwepo wa Mungu kwa kutumia falsafa na mantiki tu, bila kujikita kwenye sayansi.
 
Hizi hoja zako unafikiria kabla haujaandika ?
Jibu maswali hayo.

Una uliza swali na hujajibu swali.

Hujibu unavyo ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi 👇

Kama dunia ilitokea, Huko ilikotokea kulitoka wapi?
 
Wao (waliogundua na believed in God) na wewe (ambaye unajisemeasemea tu), who is most intelligent?
Wamegundua nini?

Na wao walijisemea semea tu
ku believe in God?

Hawana uthibitisho wowote wa uwepo wa Mungu huyo zaidi ya maneno ya kusema sema tu.
 
Sawa huamini kuhusu dini je unaamini uwepo wa Mungu?
It's none of my business...ni sawa na uniulize naamini Kama Charles Robert wa Australia anaishi..I don't know na sijali.. labda nikikutana nae akanitambulisha nitajua kwamba yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…