Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Waziri mkuu wa India Narendrah Modi kajenga bonge la hekalu la mungu Budha, sehemu kulikobomolewa msikiti...so India na Budha huwaambii kitu!

Sasa Mungu wa kweli ni yupi asiyeondoa hii mikanganyiko kwa uweza wake?
Kwani Buddha ni mungu?

Mungu anapaswa aweje? Baada ya kujua hilo ndio tutaweza kumtambua huyo Mungu wa kweli.
 
Kwani Buddha ni mungu?

Mungu anapaswa aweje? Baada ya kujua hilo ndio tutaweza kumtambua huyo Mungu wa kweli.
𝑁𝑖 π‘šπ‘’π‘›π‘”π‘’ π‘šπ‘˜π‘’π‘’ π‘€π‘Ž π‘€π‘Žβ„Žπ‘–π‘›π‘‘π‘–, β„Žπ‘’π‘€π‘Ž π‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘˜π‘’π‘Ž π‘›π‘Ž β„Žπ‘–π‘—π‘—π‘Ž π‘˜π‘’π‘’π‘’π‘π‘€π‘Ž π‘›π‘Ž π‘–π‘›π‘Žβ„Žπ‘’π‘‘β„Žπ‘’π‘Ÿπ‘–π‘€π‘Ž π‘›π‘Ž π‘šπ‘Žπ‘šπ‘–π‘™π‘–π‘œπ‘›π‘– π‘§π‘Žπ‘–π‘‘π‘– β„Žπ‘Žπ‘‘π‘Ž π‘¦π‘Ž β„Žπ‘–π‘—π‘—π‘Ž π‘§π‘Ž π‘€π‘Žπ‘–π‘ π‘™π‘Žπ‘š.


π‘†π‘œ, π‘˜π‘€π‘Ž π‘’π‘›π‘’π‘œ π‘™π‘Žπ‘œ π‘’π‘˜π‘–π‘€π‘Žπ‘Žπ‘šπ‘π‘–π‘Ž π‘˜π‘’π‘›π‘Ž 𝑀𝑒𝑛𝑔𝑒 π‘§π‘Žπ‘–π‘‘π‘– π‘¦π‘Ž π‘€π‘Ž π‘˜π‘€π‘Žπ‘œ β„Žπ‘Žπ‘’π‘‘π‘Žπ‘’π‘™π‘’π‘€π‘’π‘˜π‘Ž!
 
Hili mngetujuza mnao amini katika Mungu mkuu

Maana mnatuvuruga na mamilioni ya Miungu yenu

Dini imekua kama UTAMADUNI tu kulingana na jiografia historia na makuzi na sio based on FACTS
Wewe si unapinga madai ya kuwepo Mungu na unadai hakuna Mungu? Hivyo unajua zaidi Mungu anatakiwa aweje na ndio maana unakataa hakuna Mungu.
 
Naona vibox mkuu umeandika nini?
 
Wewe si unapinga madai ya kuwepo Mungu na unadai hakuna Mungu? Hivyo unajua zaidi Mungu anatakiwa aweje na ndio maana unakataa hakuna Mungu.
Mkuu umepewa sifa za msingi za dhana ya Mungu hapo juu na ukaziwekea mikingamo
Sasa tujuze wewe unaye mjua Mungu wa kweli ni yupi out of mamilioni ya Miungu ili nasisi tumjue na sifa zake

Inawezekana tunaona hakuna Mungu pengine ni kwasababu tu hatuna ufahamu mzuri ambao wewe unao utakao tusaidia kumjua Mungu wa kweli
 
Sijaweka mikingamo nimekumbusha tu maana inajulikana kwamba kuna miungu ina sifa tofauti na sifa za Mungu katika hizi dini mbili.

Mkuu unataka kumjua Mungu wa kweli wakati una msimamo wa kwamba hakuna Mungu katika uhalisia? Sasa naanzaje kuzungumzia Mungu wa kweli kwa mtu ambaye hakubali kabisa kama uwepo wa Mungu?
 
Tumia Akili yako na Sio hisia Katika Maisha yako.
Mmetishwa mmekuwa waoga , mumeacha kuwa binadamu anayetumia akili kuishi kwenye shughuli zao.

Huyo Mungu mnaetaja , kila siku Lakin mmeshindwa kuwa wachamungu wa Kweli, na kuishia kuwa wanafaki Tu, coz kitu mnacho kutegemea hakipo.

Ndio maana mnakosa ukamilifu wa kibinadamu
 
@Jumong S Hii mada bado inaendelea? By the way Adam na Hawa walizaa watoto wengi wa kiume na wa kike. Basi ni wazi kuwa Kaini alipooa alimchukua dada yake maana ndio waliokuwa duniani.
 
Yaaani umeropoka tu bila fact hujafafanua hicho unacho kiamini mpaka kutushawishi kukuamini nyie ndiyo wale mnao amini Hakuna Mungu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…