Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Angalia wanasayansi wote wa zamani, hawakuwa na muda wa kupoteza katika kusali. For them, "you understand first before you believe ". They know how to play with "faith and reason ".
 
Najiuliza "asiyeamini uwepo wa Mungu na anaekubali uwepo wa Mungu ni nani zuzu "? Ila katika kutafakari, anaekataa na kuhoji uwepo wa Mungu ana akili zaidi. Angalia ulimwengu wa kwanza na ule wa tatu, wa kwanza wengi wana akili na tunatumia tekinologia yao. Imani ya Mungu imehamia ulimwengu wa tatu.
 
Soma kwanza.

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.

Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
Mfano quran ukiichambua elimu zote zimo ndani ila kwenye kuchanganua ndo uwezo kapewa mwengine.na aliepewa uwezo wa kuchanganua nalo linaji'mwambafai'[emoji3]

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
 
Kaumbwa mdudu mwenye umbo kama la nzi lakini anawaka taaa..!binaadam hatumii betri...! sayansi haiwezi na haitokuja kuyajibu haya.mola awasameh hawa hawajui walinenalo.

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
 
Mfano quran ukiichambua elimu zote zimo ndani ila kwenye kuchanganua ndo uwezo kapewa mwengine.na aliepewa uwezo wa kuchanganua nalo linaji'mwambafai'[emoji3]

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
Elimu zote kwenye lile tabu la kufikirika? hebu kuwa serious. Lile tabu huwezi hata kulinganisha na Kitabu kama BS-Biological Science....watu wanalazimishwa kuamini na kwasababu punguani hawaishi duniani, basi wataendelea kuamini huu upupu!
 
Na Warumi tena wana miungu kibao mf mungu wa mapenzi, wa vita, wa mavuno, wa mvua n.k unajichagulia tu
Wahindi na ile dini yao wana mingu ya kila aina wanachagua tu wamuombe mungu gani kutokana na shida gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…