Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Angalia wanasayansi wote wa zamani, hawakuwa na muda wa kupoteza katika kusali. For them, "you understand first before you believe ". They know how to play with "faith and reason ".
 
Najiuliza "asiyeamini uwepo wa Mungu na anaekubali uwepo wa Mungu ni nani zuzu "? Ila katika kutafakari, anaekataa na kuhoji uwepo wa Mungu ana akili zaidi. Angalia ulimwengu wa kwanza na ule wa tatu, wa kwanza wengi wana akili na tunatumia tekinologia yao. Imani ya Mungu imehamia ulimwengu wa tatu.
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Soma kwanza.

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
 
IMG-20240208-WA0002.jpg
 
Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.

Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
Mfano quran ukiichambua elimu zote zimo ndani ila kwenye kuchanganua ndo uwezo kapewa mwengine.na aliepewa uwezo wa kuchanganua nalo linaji'mwambafai'[emoji3]

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
 
Hapana, mpaka pale sayansi itakapothibitisha kuwa Mungu wa miujiza hayupo ndo imani juu ya Mungu itakuwa imepingana na sayansi. Kumbuka wanaoamini katika Mungu hasa kwenye ukristo na uislamu mfano, huamini kuwa Mungu yupo toka milele anajua yote lakini sayansi haijui yote, kila baada ya muda fulani ndo wanasayansi wanakuwa wamepiga hatua fulani katika kufanya uvumbuzi. Sayansi inakua lakini Mungu hana cha kuongeza anajua yote from beginning.

Hii ni kweli kabisa. Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha.

Ndo maana wanasema mambo ya Mungu ni ya mambo ya Imani, lakini haikuzuii mtu kutumia akili au sayansi katika mambo yako. Vyote vinaweza kufanya kazi pamoja.
Kaumbwa mdudu mwenye umbo kama la nzi lakini anawaka taaa..!binaadam hatumii betri...! sayansi haiwezi na haitokuja kuyajibu haya.mola awasameh hawa hawajui walinenalo.

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
 
Mfano quran ukiichambua elimu zote zimo ndani ila kwenye kuchanganua ndo uwezo kapewa mwengine.na aliepewa uwezo wa kuchanganua nalo linaji'mwambafai'[emoji3]

Sent from my SM-G985F using JamiiForums mobile app
Elimu zote kwenye lile tabu la kufikirika? hebu kuwa serious. Lile tabu huwezi hata kulinganisha na Kitabu kama BS-Biological Science....watu wanalazimishwa kuamini na kwasababu punguani hawaishi duniani, basi wataendelea kuamini huu upupu!
 
Na Warumi tena wana miungu kibao mf mungu wa mapenzi, wa vita, wa mavuno, wa mvua n.k unajichagulia tu
Wahindi na ile dini yao wana mingu ya kila aina wanachagua tu wamuombe mungu gani kutokana na shida gani.
 
Back
Top Bottom