Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Thibitisha ya kuwa Mungu alijitokeza huko ulipo dai kwamba amejitokeza.
Siwezi thibitisha that's the point...ila wenye dini wanasema alitokea huko middle east cjui Palestine.. asa me nasema it's unfair advantage kwa wao kumwona Mungu directly afu wengine tusimuliwe
 
Swali lilikutaka uonyeshe huko ulipotoka. Sasa kwanini uweke hapa habari ambazo hujazihakiki ? Hivi ndivyo mlifundishwa ? Mbona unaonyesha hauko makini kijana.

Sasa nakupa kazi, tuambie umetoa wapi hizo habari.
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Unacho sema kina ukweli na uongo na kina Akili na Upumbavu kwa pamoja ...nasema hivi kwa sababu ni kweli dini zipo nyingi za kila aina na pia kuna madhehebu ya kila aina hapo ndipo ukwli wa hoja yako ulipo maana mtu yoyote anaweza kuanzisha dini yake atakacyo ila kuna tofauti ya dini na Mungu ....ukisema mungu hayupo hapo ndiyo upumbavu na uongo wa hizi hoja zako neno Mungu kusayansi linajulikana kama (mather nature ) wanachopinga wanasayansi siyo nguvu za mungu wao wanapinga kwamba hizo nguvu zilizo umba kila kitu zinajitambua au la! ... wao wanasema azijitambui yani nguvu za asili ziliumba kila kitu ni kwa bahati tu ila hazina UFAHAMU... GENIUS YOYOTE YULE MWENYE AKILI TIMAMU AWEZI KUSEMA MUNGU HAYUPO TENA AWEZI KUSEMA MUNGU HANA UFAHAMU
 
Pia kuna tofauti baina ya MUNGU NA DINI ....MUNGU YUPO HATA KUSIPOKUWA NA DINI NDIYO MAANA SIYO KILA KIUMBE KINAWAJIBIKA NA DINI MUNGU NI MUNGU WA KILA KITU KILICHO HAI NA KISICHO HAI DINI NI MAMBO YA BINADAMU NA MUNGU ILA UKUMBUKA VIUMBE VINGINE VINGI AVIWAJIBIKI KATIKA MAMBO YA DINI ILA NI VYA MUNGU PIA HIVYO HOJA YAKO ULITAKIWA KUSEMQ MUNGU YUPO AU LA 8LA SIYO DINI ..kumbuka simba ,chui ,fisi ,mchwa kunguru wote hao hawana dini ila linapo kuja swala la mungu wanafungaswa ndani yake ...hivyo tusichanganye neno mungu na dini ...dini zipo nyingi tena nyingi ni upumbavu haswa.
 
Skia...usinifanyie unitukane...Muhammad ni muarabu, Yesu alikuwa myahudi.. Musa myahudi nuhu myahudi and so on..huyu Mungu why katokea watu wa huko tu...hajatokea mtume wa Australia cjui Kenya...yaani kamtokea mtu pangoni uarabuni jangwani miaka buku nyuma afu dunia nzima tumuamini yeye
 
Sasa mbona unajicontradict...kwanza sio wanasayansi wote wanaoamini Mungu ni nature...pili just because wanasayansi kadhaa wanaamini Mungu doesn't mean yupo.. ukisema evidence ni nature na mi naweza sema Optimus prime ni muumba ulimwengu nakuambia angalia jua kinaonekana haliwezi kujiumba hence Optimus prime exists.. utaniona fala
 
Pia kuna tofauti baina ya MUNGU NA DINI ....MUNGU YUPO HATA KUSIPOKUWA NA DINI NDIYO MAANA SIYO KILA KIUMBE KINAWAJIBIKA NA DINI MUNGU NI MUNGU WA KILA KITU KILICHO HAI NA KISICHO HAI DINI NI MAMBO YA BINADAMU NA MUNGU ILA UKUMBUKA VIUMBE VINGINE VINGI AVIWAJIBIKI KATIKA MAMBO YA DINI ILA NI VYA MUNGU PIA HIVYO HOJA YAKO ULITAKIWA KUSEMQ MUNGU YUPO AU LA 8LA SIYO DINI ..kumbuka simba ,chui ,fisi ,mchwa kunguru wote hao hawana dini ila linapo kuja swala la mungu wanafungaswa ndani yake ...hivyo tusichanganye neno mungu na dini ...dini zipo nyingi tena nyingi ni upumbavu haswa.
Unajuaje wanyama ni wa mungu
 
Skia...usinifanyie unitukane...Muhammad ni muarabu, Yesu alikuwa myahudi.. Musa myahudi nuhu myahudi and so on..huyu Mungu why katokea watu wa huko tu...hajatokea mtume wa Australia cjui Kenya...yaani kamtokea mtu pangoni uarabuni jangwani miaka buku nyuma afu dunia nzima tumuamini yeye
Yaani bado unaandika ujinga na uongo, ndio maana hata maswali madogo yanakushinda. Unakuja na ujinga mwingine kwamba Musa Myahudi mara Nuhu Myahudi. Hivi unaakili kweli kijana ?

Mpaka Musa anaondoka hapakuwepo Uyahudi, hivi huwa mnasoma na kufanya utafiti au mnaandika andika tu ilimradi ?

Ukijadiliana na Mimi hakikisha kila nukta unayo iandika unaijua na uweze kuitolea ushahidi. La Muhammad hujalimaliza unakuja na lingine tena ambalo huliwezi.

Nani alikwambia mitume na manabii wanatoea tokea tu, pasi na sababu ? Kwanza malizia hilo la kwanza, kisha tuje katika huu ujinga na uongo mpya uliouweka tena hapa.
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Mimesoma andiko la mpumbavu mmoja hivi leo.
Nasikitika andiko hili kuandikwa na mtu wa viwango vya chini vya uwezo wa akili.Umeshindwa kujenga hoja kabisa ingawa inaonesha hujui vitu vingi kuhusiana na unayozungumza

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yaani bado unaandika ujinga na uongo, ndio maana hata maswali madogo yanakushinda. Unakuja na ujinga mwingine kwamba Musa Myahudi mara Nuhu Myahudi. Hivi unaakili kweli kijana ?

Mpaka Musa anaondoka hapakuwepo Uyahudi, hivi huwa mnasoma na kufanya utafiti au mnaandika andika tu ilimradi ?

Ukijadiliana na Mimi hakikisha kila nukta unayo iandika unaijua na uweze kuitolea ushahidi. La Muhammad hujalimaliza unakuja na lingine tena ambalo huliwezi.

Nani alikwambia mitume na manabii wanatoea tokea tu, pasi na sababu ? Kwanza malizia hilo la kwanza, kisha tuje katika huu ujinga na uongo mpya uliouweka tena hapa.
Skia mkuu tusipotezeane mda...yaishe umeshinda
 
Back
Top Bottom