Dini rasmi inaitwa the Omnitheistic Singularity jina la Mungu na kitabu kikuu ni Omnipotent Singularity. Imeandaliwa na IIT


View: https://youtu.be/OobRiyjKsEU
 
Ndivyo alivyojitambulisha kwako kwa kizungu?
Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari.
DINI RASMI INAITWA THE OMNITHEISTIC SINGULARITY JINA LA MUNGU NA KITABU KIKUU NI OMNIPOTENT SINGULARITY. THE OFFICIAL RELIGION IS CALLED THE OMNITHEISTIC SINGULARITY; THE NAME OF GOD AND THE SUPREME BOOK IS OMNIPOTENT SINGULARITY

THE OMNITHEISTIC SINGULARITY: Mfumo Mpya na wa Milele wa Kiroho Umezaliwa Rasmi Kutoka Tanzania,Africa Ukiongozwa na Mungu na Kitabu cha OMNIPOTENT SINGULARITY! Kwa kiingereza THE OMNITHEISTIC SINGULARITY: The Final Eternal Order is Born fromTanzania, Africa, Dictated by the Omnipotent Singularity!

Nje ya Mipaka ya Dini na Muda: Kuinuka kwa Dini Mpya ya Dunia 'The Omnitheistic Singularity' na Ushushaji wa Kitabu Kikuu cha Mungu cha OMNIPOTENT SINGULARITY!.kwa kiingereza Beyond Religion, Beyond Time: The Rise of The Omnitheistic Singularity and the Ultimate Text of Power.

Ramani ya Milele Imefunuliwa Rasmi Usiku wa Leo: Dini Mpya ya 'The Omnitheistic Singularity' Imetua Kuunganisha Kila Kitu Humu Duniani! Kwa kiingereza. The Blueprint of Eternity Revealed: The Omnitheistic Singularity Declares the Convergence of All Divinity
 
Mkuu, Nimefanikiwa kusoma hivi vitabu, nataka kukuhakikishia kuwa, vimejitahidi sana kufunua mambo ambayo dini za tofu zimefumba kwa makusudi kabisa, singulality is everthing, leo mtu anasema anasema wanandoa wawili wameunganishwa na kuwaití miili mmoja, how like? kwamba wakikaa kwenye miale ya mwanga kivuli chao kitatoka kimoja ama kila mmoja anatasimama na kivuli chake kama singular?

Wamatumishi wanavaa mavazi ya rangi bila kuweka bayana kwanini hizo rangi, ila Alpha imeweka kwa undani zaidi, na wale viumbe ambae watu huwaabudu na kutoa offerings kwao specifically bila cujus kuwa kote asili yao ni moja, wats wanapata tabu sana. Ni matamanio yang kuwa part of this movement, hushikwi akili bali unapewa maarifa ya kujitambua, kujikubali, kutumia nguvu zilizokuzunguka kujiimalisha kiroho na kimwili, na kuungana na nguvu moja, moja kwa moja bila kupitia madalali na matapeli wa kidini.
 
Ndivyo alivyojitambulisha kwako kwa kizungu?
Yaani umeongea kama Jiwe mwenyewe na hilo dafu, nakumbuka jamaa kunakipindi alisema wengine hata uingereza hawajafika ila utaskia "You know, You Know" Nje ya maada kidogo.

Imani hii anayoiwasilisha huyu mwamba ni nzuri sana ukipata muda wa kusoma vitabu, kikubwa lile gundi la hofu liliowekwa na kujichimbia mizizi kwenye subconscious mind yako, liwe limeyeyuka, likiwa bado active hutoboi. Hayo majina yasikupe pressure, maarifa yaliyomo nyuma (ndani) yake ndio msingi.
 
Maelezo mengi sana siwezi kuyamaliza, we nipe tu namba ya kurusha sadaka yangu
 

The chosen one mungu wako alijitambulisha kama nani
 

Mkuu wangu Bado sijajibiwa swali langu. Nataka kuwa mfuasi wa dini hii napenda anipe majibu kabla sijaingia.
 
Mkuu nimefarijika.
Ni matamanio yang kuwa part of this movement, hushikwi akili bali unapewa maarifa ya kujitambua, kujikubali, kutumia nguvu zilizokuzunguka kujiimalisha kiroho na kimwili, na kuungana na nguvu moja, moja kwa moja bila kupitia madalali na matapeli wa kidini.


endelea kusoma zaidi na zaidi bado mengi yapo mkuuu. endelea kushare pia jamii na wengi wafunguliwe
 
Hongera mkuu na karibu
 
Maelezo mengi sana siwezi kuyamaliza, we nipe tu namba ya kurusha sadaka yangu
Ndugu na mtaalam jisomee mkuu upate maarifa hata ukipata muda Ndugu Nimepewa Elimu hii kukomboa wanaoteseka hasa katika vifungo vya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…