IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
- Thread starter
- #201
Mungu wa kila uonacho na usichoona ni Mungu mmoja wa vyote soma vitabu mkuuThe chosen one mungu wako alijitambulisha kama nani
Mungu wa kila uonacho na usichoona ni Mungu mmoja wa vyote soma vitabu mkuuThe chosen one mungu wako alijitambulisha kama nani
soma vitabu maswali yako yote yamejibiwaMkuu wangu Bado sijajibiwa swali langu. Nataka kuwa mfuasi wa dini hii napenda anipe majibu kabla sijaingia.
Mungu wa kila uonacho na usichoona ni Mungu mmoja wa vyote soma vitabu mkuu
sawaSawa mkuu nilitamani kuwa kuhani wa dini hii lakini hamna kitu hapa
sawa we endelea na yule wa IBRAHIM ISAKA na YAKOBO mkuuSawa mkuu nilitamani kuwa kuhani wa dini hii lakini hamna kitu hapa
karibu
ukabila umeingiaje hapa tena uchaga?Baadhi ya Wachaga mnamambo kweli kweli