Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.

Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.

Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya Kiislamu. Haya maadili yote utayaona katika Vitabu vyao,lakini hawayafuati.

Sasa,nimeandika haya mambo, sijui jambo litatokea. Labda nitasomewa Al Badiri.

Of course, hata mtu akiwa Mkristu, au dini nyingine, usidhani kwamba anafuata maagizo yote ya dini yake. Lakini tatizo hili kwa Waislamu linajitokeza sana.

Uislamu unaieleza dini kwa ufasaha, so much so that Wakristu ambao hawana Brain
Power, wanaipendelea dini ya Kiislamu .

Lakini Waislamu hawaifuati dini yao,kwa kukosa Imani na dini yao.
 
Ndugu yangu umeongea ukweli kabisa, kwanza Dini ya Kiisilamu ni ngumu sana kuifata, mfano wake ni kama maisha ya mfungwa gerezani duniani,hebu fikili kila siku itabidi uswali swala tano bila kukosa, alfajiri uamke saa 11 uwe msikitini tena kama ulilala na mkeo yakupasa kuoga, na ukifika msikitini utawadhe kwa maji tena ya baridi, imejini uko njombe

Na bado hutakiwi kufanya biashara ambazo Mwenyezi Mungu amekataza,mfano mikopo ya riba, pombe,guest za kufanyia ufirauni, umalaya, michepuko na mengine, maisha yako inabidi uishi kwa kutenda haki, usizulumu

Ukifwata hayo, siku ukifa na kufufuliwa utaisha kama mfalme peponi.

Wakati mtenda dhambi yeye huishi kama mfalme duniani na bila kujua maisha yake ni mafupi sana duniani, jiulize hawa wote tunaowasoma walioishi kwa starehe wako wapi?
 
Kama alitekwa si akaokolewe na Mungu wake.

Malaika si wapo waende kumuokoa

Dini ya mudi nani alikwambia ni nzuri?

Umetumia vigezo vipi kufikia suluhisho?
 
Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini,we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.
Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.
Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya Kiislamu. Haya maadili yote utayaona katika Vitabu vyao,lakini hawayafuati.
Sasa,nimeandika haya mambo,sijui jambo litatokea. Labda nitasomewa Al Badiri.
Of course,hata mtu akiwa Mkristu,au dini nyingine,usidhani kwamba anafuata maagizo yote ya dini yake. Lakini tatizo hili kwa Waislamu linajitokeza sana.
Uislamu unaieleza dini kwa ufasaha,so much so that Wakristu ambao hawana Brain Power,wanaipendelea dini ya Kiislamu . Lakini Waislamu hawaifuati dini yao,kwa kukosa Imani na dini yao.
shida inaanzia madrasa
 
Hata pale Manzese badala ya waislamu kujifundisha dini Yao na kusoma Qur an, wao wanaichambua Biblia kifungu Hadi kifungu. Na kuwaita watu wagalatai.
waislamu wenye msimamo mkali ndio wanaofanya hivi

Hata kwa wakristo ni hivyo hivyo hujakutana na wasabato wakiichambua qur-an?
 
Ndugu yangu umeongea ukweli kabisa, kwanza Dini ya Kiisilamu ni ngumu sana kuifata, mfano wake ni kama maisha ya mfungwa gerezani duniani,hebu fikili kila siku itabidi uswali swala tano bila kukosa, alfajiri uamke saa 11 uwe msikitini tena kama ulilala na mkeo yakupasa kuoga, na ukifika msikitini utawadhe kwa maji tena ya baridi, imejini uko njombe

Na bado hutakiwi kufanya biashara ambazo Mwenyezi Mungu amekataza,mfano mikopo ya riba, pombe,guest za kufanyia ufirauni, umalaya, michepuko na mengine, maisha yako inabidi uishi kwa kutenda haki, usizulumu

Ukifwata hayo, siku ukifa na kufufuliwa utaisha kama mfalme peponi.

Wakati mtenda dhambi yeye huishi kama mfalme duniani na bila kujua maisha yake ni mafupi sana duniani, jiulize hawa wote tunaowasoma walioishi kwa starehe wako wapi?
Hamna ugumu wowote kwenye kufuata sheria za uislamu
 
Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.

Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.

Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya Kiislamu. Haya maadili yote utayaona katika Vitabu vyao,lakini hawayafuati.

Sasa,nimeandika haya mambo, sijui jambo litatokea. Labda nitasomewa Al Badiri.

Of course, hata mtu akiwa Mkristu, au dini nyingine, usidhani kwamba anafuata maagizo yote ya dini yake. Lakini tatizo hili kwa Waislamu linajitokeza sana.

Uislamu unaieleza dini kwa ufasaha, so much so that Wakristu ambao hawana Brain
Power, wanaipendelea dini ya Kiislamu .

Lakini Waislamu hawaifuati dini yao,kwa kukosa Imani na dini yao.
Mtoa mada chukua na hii muislamu ni mtu kama ulivyo wewe ...muislamu anaacha kufuata mafundisho na misingi ya dini yake siyo kwamba hana imani na mafundisho yake bali kuipenda zaidi dunia kuliko akhera..Allah tabaraka anasema kuwa dunia ni jera kwa muhumini (jera kivipi) yote aliyoyakataza ndio nafsi inayataka kubeti, Riba,pombe, kuzini, kusema uwongo na mengine mengi na mwenyezi mungu ameyaleta ayo ili yawe kama mtihani kwetu atakayeweza kujizuia na yote ayo ndio atakuwa amefaulu na kwenda kulipwa ujira na mola wake kwa kile alichokifanya.. wapo watu walishawai kuniuliza inakuaje wale watu watenda maovu, wasioswali na wengine hawamjui hata mwenyezi mungu lakini ndio wanaongoza kuwa na maisha mazuri tofauti na wale wachamungu jibu ni ili dunia haina thamani yoyote mbele za mungu vyote vilivyomo mnavyoviona ni Bora na vizuri si chochote ukilinganisha na akhera.. NB: dunia ni jera kwa muhumini..
 
Back
Top Bottom