Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Ukiritadi ndugu zako wanakuua
Adui mkubwa wa muislamu ni mtu wa dini nyingine
Kuuwa watu wa dini nyingine ni sawa tu

Kwenye hiyo dini hakuna Mungu
Kuna shetani na ushetani wenyewe.
 
Ile ni miadhara kama una utetezi kuhusu dini yako nenda pale mkapeane vifungu kutoka uko uko kwenye dini yako
Kwa nini wasitumie kitabu chao peke yake kuwaingiza watu kwenye dini yao?Kwa nini watumie vitabu vya dini nyingine?Kwa nini wasiwe kama walokole wanaomtangaza Yesu na kuvuta waumini bila kuchambua Quran.Au ndo tuseme Quran haijiuzi?
 
Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.

Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.

Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya Kiislamu. Haya maadili yote utayaona katika Vitabu vyao,lakini hawayafuati.

Sasa,nimeandika haya mambo, sijui jambo litatokea. Labda nitasomewa Al Badiri.

Of course, hata mtu akiwa Mkristu, au dini nyingine, usidhani kwamba anafuata maagizo yote ya dini yake. Lakini tatizo hili kwa Waislamu linajitokeza sana.

Uislamu unaieleza dini kwa ufasaha, so much so that Wakristu ambao hawana Brain
Power, wanaipendelea dini ya Kiislamu .

Lakini Waislamu hawaifuati dini yao,kwa kukosa Imani na dini yao.
Sio kweli,waislamu wanafuatilia dini yao.Ndio maana kukawa na madrasa kiarabu(shule kwa kiswahili,school kwa English,na sule kijerumani).Labda mtu ajiite muismu,awe hakupitia madrasa(shule),ndio haujui uislamu.
Na kuhusu huyo aliyetekwa
1.Huyu atakuwa katekwa na watu wa karibu yake,mtu wa mbali hawezi kufanya haya.
2.Nigeria makundi ya kihalifu ni mengi.
3.Uzembe hapa ulitumika kumpeleka huyu kijana,kwenda kusoma sehemu hatarishi,hivi hayo masomo ya dini,dunia nzima hakuna ila huko sehemu isio salama?Au ni mpango umepangwa na watu fulani?Usalama kwanza,kabla ya jambo lolote.
4.Mungu atamsaidia,apatikane awe salama.








Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
shida inaanzia madrasa
Sio kweli.Madrasa ni kiarabu,kiswahili ni shule.Vipi sasa shule kuwe na shida.Huyu katekwa na watu wa karibu yake,mtu wa mbali hawezi kujua habari zako akuteke.Kwanza Nigeria hakuko salama,kuna makundi mengi ya uhalifu,vipi mtu apelekwe kusoma huko.Ni sawa kumpeleka mwanafunzi akasome Sudan,wakati huu,ambapo hao wanafunzi wa huko wametawanywa duniani kumalizia masomo yao.Au upelekwe Urusi au Ukraine ukasome,sehemu hatarishi.Usalama kwanza.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mafundisho yao yanawakataza kuchanganyika na jamii nyingine hasa wakristo na wayahudi ndio adui zao namba moja ukiondoa shetani,sasa mafundisho kama haya kwa dunia ya sasa yana maana gani kama sio kuzalisha jamii yenye utengano na chuki kwa wengine.
Sio kweli.Wakulaumiwa ni hao waliompeleka huyu aliyetekws huko Nigeria.Kule kuna makundi mengi ya uhalifu.Ni sawa hivi sasa umpeleke mwanafunzi Sudan,Urusi au Ukraine,unategemea nini?Usalama kwanza,mengine baadaye.
 
Siku watu wakitambua kuwa wanatakiwa kuwa na

1.Imani yaani kumuomba MUNGU

2.Hofu ya MUNGU

3.Shukrani kwa MUNGU

Dini ni upuuzi fulani ambao umewagawa binadamu na kujikuta badala ya kutengeneza amani wanatengeneza mabalaa Kila iitwapo leo
 
Huyo katekwa inahusiana vip una uislamu? kama sio ujinga wako? mbona hao watekaji wanataka pesa kwa maslahi yao.


Usipende kuleta mtafaruku mambo yatokee nigeria uje kuhukumu watanzania ,tafuta kazi ya kufanya kama ni mtoto wa kiume.!!
 
Mafundisho yao yamejaa chuki dhidi ya Dini nyingine
Sio kweli.Ni hisia zako tu. kulikuwa na msichana wa kikristo kwao ni Rwanda,nilimkuta stend ya bus,ataka arudi kwao,tukampa chakula,pakulala,na hela ya nauli,na ya kutumia njiani,na kuna mama wa kiarabu akamchukuwa ili awahi mabasi ya alfajiri,arudi kwao.Waliomchangia ni waislamu watupu.Alisema aliletwa na jirani zao,huko Rwanda,akamkimbia,wakati yeye ni wa miaka 18 tu.Na wapo wengi,sio waislamu,wamechangiwa wakiwa na matatizo.
 
Ukiritadi ndugu zako wanakuua
Adui mkubwa wa muislamu ni mtu wa dini nyingine
Kuuwa watu wa dini nyingine ni sawa tu

Kwenye hiyo dini hakuna Mungu
Kuna shetani na ushetani wenyewe.
Acha kudanganywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.Qur'an ukuanza kuisoma,unamlani shetani,na aya nyingi zimo ndani ya Qur'an zinamlani shetani.
Sio kama katika biblia,Shetani alimbeba Yesu,akampeleka sehemu mbalimbali.
 
Mafundisho yao yanawakataza kuchanganyika na jamii nyingine hasa wakristo na wayahudi ndio adui zao namba moja ukiondoa shetani,sasa mafundisho kama haya kwa dunia ya sasa yana maana gani kama sio kuzalisha jamii yenye utengano na chuki kwa wengine.

Hii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.

Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.

Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.

Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.

Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.

Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."
 
Kwa nini wasitumie kitabu chao peke yake kuwaingiza watu kwenye dini yao?Kwa nini watumie vitabu vya dini nyingine?Kwa nini wasiwe kama walokole wanaomtangaza Yesu na kuvuta waumini bila kuchambua Quran.Au ndo tuseme Quran haijiuzi?
Biblia haina watu maalumu.Kimeandikwa Habari Njema kwa Watu wote.
 
Back
Top Bottom