Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Hilo siyo jibu kwa hilo swali
Aliyeandika Biblia asema
Screenshot_2023-08-09_104203.jpg

Kwenye Marko 16:15
" Basi,nendeni mkahubiri habari njema kwa mataifa yote"
Wewe usiyeandika Biblia,wataka watu wasihubiri kitabu cha Biblia.
 
Hizo Pombe zinawekwa eostrogeni homoni ya kike mwisho wa siku wanywa pombe wengi mnaota vitambi,matiti ,ukosefu wa nguvu za kiume na baya zaidi wengine mnakua gays kabisa.

Kunywa Pombe sio sifa .
Mbona waislamu wengi tu wanakunywa pombe na baadhi hata kitimoto wanakula? Au tunarudi kulekule kuwa siyo wote wanafuata mafundisho kwenye dini zao?
 
Sio kweli.Ni hisia zako tu. kulikuwa na msichana wa kikristo kwao ni Rwanda,nilimkuta stend ya bus,ataka arudi kwao,tukampa chakula,pakulala,na hela ya nauli,na ya kutumia njiani,na kuna mama wa kiarabu akamchukuwa ili awahi mabasi ya alfajiri,arudi kwao.Waliomchangia ni waislamu watupu.Alisema aliletwa na jirani zao,huko Rwanda,akamkimbia,wakati yeye ni wa miaka 18 tu.Na wapo wengi,sio waislamu,wamechangiwa wakiwa na matatizo.
Koran 4:89. Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Allah. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi
 
Hii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.

Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.

Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.

Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.

Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.

Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."
Koran
5;51. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Swadaqta! huyo msukuma hajui chochote hata ukristo haujui 😅😅😅ushamba ni jadi yake na elimu tatizo.

Achana nae.!!
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Umeelezea vizuri sana.Sasa sya kama hizi,wakristo hawaonyeshwi na wanaowadanganya.Wakati katika uislamu
1.Kula chakula cha mkristo ni halal,bora kisiwe chakula cha haramu kama pombe,nguruwe,nyamafu nk
2.Ndoa ya kikristo ni halali katika uislamu,walioana kikristo,wakiingia katika uislamu,hawafungi ndoa tena katika uislamu.
3.Ujirani wa muislamu kwa mkristo ni ujirani mwema,uislamu umesisitiza.nk

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Koran
5;51. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
Rudia kusoma
 
Ndugu yangu umeongea ukweli kabisa, kwanza Dini ya Kiisilamu ni ngumu sana kuifata, mfano wake ni kama maisha ya mfungwa gerezani duniani,hebu fikili kila siku itabidi uswali swala tano bila kukosa, alfajiri uamke saa 11 uwe msikitini tena kama ulilala na mkeo yakupasa kuoga, na ukifika msikitini utawadhe kwa maji tena ya baridi, imejini uko njombe

Na bado hutakiwi kufanya biashara ambazo Mwenyezi Mungu amekataza,mfano mikopo ya riba, pombe,guest za kufanyia ufirauni, umalaya, michepuko na mengine, maisha yako inabidi uishi kwa kutenda haki, usizulumu

Ukifwata hayo, siku ukifa na kufufuliwa utaisha kama mfalme peponi.

Wakati mtenda dhambi yeye huishi kama mfalme duniani na bila kujua maisha yake ni mafupi sana duniani, jiulize hawa wote tunaowasoma walioishi kwa starehe wako wapi?
Hata Ukristo hivyo hivyo ni lazima uwe mfungwa Duniani ukitaka kuwa Mkristo wa kweli
 
Sio kweli.Wakulaumiwa ni hao waliompeleka huyu aliyetekws huko Nigeria.Kule kuna makundi mengi ya uhalifu.Ni sawa hivi sasa umpeleke mwanafunzi Sudan,Urusi au Ukraine,unategemea nini?Usalama kwanza,mengine baadaye.

Unaelea hata maana ya gosple mission au unajiongelesha,injili hachagui pa kwenda kuhubiriwa.
 
Koran 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
Sasa huoni ayah imekamilika unataka nn sasa hapo?
 
😂😂Ayah ikiwa inafafanuliwa wewe unacheza disco
Koran 47;4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu
9;5.
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni.
 
Sasa huoni ayah imekamilika unataka nn sasa hapo?
Muache kutumia takiya kuwadanganya watu humu kwamba mna urafiki na wakristo, kati watu allah anawachukiwa ni wakristo na wayahudi kuliko na amesema wazi ukifanya urafiki nao hutakuwa chochote mbele zake
 
Hii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.

Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.

Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.

Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.

Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.

Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."

I wish hawa waione hii
 
Hawa wanamafundisho gani?
IMG_3182.jpg
 
Mada ya kijinga haina kichwa wala miguu hata mtoto Wa darasa la saba atarajiae kufanya mtihani mwezi Wa 9 hawezi kuja na upupu kama huu..ila kwa sababu inawasagia kunguni waislam basi na wachangiaji imepata wa kutosha tu

Kwani nyie mafundisho yenu mnayafuata kama ulivyokuja na ujinga wako hapa???

Nguruwe si mnakula nyie?? Na kuanza kuleta pointi dhaifu eti najisi ni kitokacho si kiingiacho kwahiyo hata nyama ya mtu ni luksa pia maana ni kiingiacho, kula nyoka ni sawa kadhalika mbwa according to this weak point, agano la kale mmewachia wasabato nyie mnalitumia kwenye vifungu pendwa vinavyowafurahisha tu kama vile malaki 3, 10..kutoa fungu la kumi na kula walawi kwenye Malawi siyo??

Mafundisho yenu yanasema litoe goliti kabla ya kuona kibanzi kwa mwenzio haya mbona unayavunja na kuja kuwasema waislam??

Kuna uislam na waislam, njoo na ponti za Ku argue uislam sio kuwa ng'ong'a waislam maana kila binadamu ni mwenye kukosea upo????

Na utapenyeza sana uislam na rate ya watu kuslim lazima iwe kubwa maradufu maana huko kuna vitu mnafanya mtu kwenye akili yake anaona mmmh hapa si kweli mfano tafuta wale wanaoungamanaga kwa viongozi wao wa dini tafuta age inayo range 25-50 watafute 1000 waulize Mara ya mwisho wamefanya hivyo lini utawapata 10 tena wamefanya mwaka Jana maana ukishakuwa mtu mzima kuna vitu huwezi shikiwa akili

Uislam lazima upate much followers koz ndio dini ipo realistic, logically na inafit kila zama, huwezi nikand niswali msikiti flani, naswali inaoonikuta swala, huwezi nikomand nikienda mkoani nikajitambulishe kwa jumba flani la ibada eti ooh ooh so nitakuwa nanyi kwa miezi mitatu, mke wangu asilimia 99 ibada zake atamalizia nyumbani hivyo keshastirika tayari na fitna, natoa nilicho nacho tena kwaajili ya mwenyezi mungu huwezi nikafilisha michango out of my will, binadamu wote

Tufanye kazi tuache majungu haya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Hili ni povu,hata mtoto wa chekechea hawezi andika upupu kama huu. Hata shetani ana mazuri yake sembuse dini ya uslamu.
 
Back
Top Bottom