Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishakubaliana,
Dini hazipaswi kupewa nafasi hasa katika mambo ya kiserikali.
Wewe kwa usitawi na maendeleo ya wanadamu na watanzania kihususa dini ya kuiogopa ni uislam, halafu ina unafiki. Si unaona vipindi hivi vya mfungo wa kwaresma na Ramadhani. Uliona wapi mtu analazimishwa kufunga kwaresma??!! Bali umejionea utofauti pale watu walipolazimishwa na hata kukamatwa na kuchapwa kwa kula mchana wa Ramadhani kule Zanzibar.
Walilazimishwa wazee wetu wakaingia kingi sasa upuuzi huu ukaendea hadi kwemye vizazi vyao.Hiv ni dini za wakoloni au ni sisi tu ndio tunajipendekeza nazo. Maana hatulazimishwi kuzifuata!.
😅😅😅Mtu anayeongea hata elimu yake inatumia kingereza cha mkoloniKila kitu muafrika ameiga hakuna cha maana alichovumbua,huamini dini ya mweupe lakini unashangilia na kuiga michezo aliyoianzisha,vaa yake,technology yake etc etc.
Unasema wanaotoa sadaka kwenye nyumba za ibada wanachezea hela (sometimes hiyo sadaka wanayotoa haizidi 1,000/=) kwamba hela wanakula viongozi wa dini huku wewe unanunua ticket kwenda kuangalia mchezo wa mpira aliouanzisha mzungu au muarabu,tena unanunua bei juu ticket moja 20,000/= so utakuta wote wanaoamini na wasioamini hakuna walichozidiana kama akili wote hawana.
Muhimu sana kila mtu aachwe afanye kile kinamfurahisha hakuna haja ya kufatana fatana.