Bora hata sayansi inaelewekaSijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Dini ni utapeli, tuzikatae tujikite kwenye humanitarian principlesHapo tu ndiyo mjadala huwa mgumu sana mpaka wale wenye mtazamo wa kwamba dini ni uongo huonekana wakweli.
Mmesema wote tulikuwa nyani. Hao nyani waliobadirika kuwa binadamu walikuwa wapi, ulaya au Africa?Rangi, kimo, maumbile hubadilika kutokana na mgawanyiko wa kijiografia, hali ya hewa, nk. Mwili una adapt. Mfano sisi tuliopo ikweta jua na upepo [melanin] limebadili ngozi zetu kuwa nyeusi ili kujikinga na hali hiyo. Hata mzungu aliye zaliwa na kukulia afrika, generation yake mf 4Th haitakua sawa na yule aliyekulia ulaya etc
Mbona blacks wa Marekani walioenda Marekani miaka mitatu iliyopita ambao hawajazaa na Wazungu hawabadiliki rangi bado ni weusi tii??Rangi, kimo, maumbile hubadilika kutokana na mgawanyiko wa kijiografia, hali ya hewa, nk. Mwili una adapt. Mfano sisi tuliopo ikweta jua na upepo [melanin] limebadili ngozi zetu kuwa nyeusi ili kujikinga na hali hiyo. Hata mzungu aliye zaliwa na kukulia afrika, generation yake mf 4Th haitakua sawa na yule aliyekulia ulaya etc
Watu wajinga tu ndio wanasema tulikuwa nyani, hakuna mtu mwenye akili anayesema tulikuwa nyani.Mmesema wote tulikuwa nyani. Hao nyani waliobadirika kuwa binadamu walikuwa wapi, ulaya au Africa?
hoja yako ni niniMmesema wote tulikuwa nyani. Hao nyani waliobadirika kuwa binadamu walikuwa wapi, ulaya au Africa?
Watakwambia kuna mtu alilewa akavua nguo mbele ya wanae, mmoja akacheka akalaaniwa. Yule aliecheka ndo sisi waafrika.Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Zenyewe zinasema juu ya Imani na roho hazisemi juu ya rangi maana rangi na itikadi ndiyo chanzo cha ubaguzi,ukitaka kujuaref. Ccm.Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Soma Genesis 10Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Hili andiko limetoka wapi? Kwa biblia au Quran.??Rangi, kimo, maumbile hubadilika kutokana na mgawanyiko wa kijiografia, hali ya hewa, nk. Mwili una adapt. Mfano sisi tuliopo ikweta jua na upepo [melanin] limebadili ngozi zetu kuwa nyeusi ili kujikinga na hali hiyo. Hata mzungu aliye zaliwa na kukulia afrika, generation yake mf 4Th haitakua sawa na yule aliyekulia ulaya etc
Hujawahi kusikia habari ya Ham,Shem na Japhet?Dini ikifika hapo inaanza kuleta janja janja Kwa kusema akili za Mungu hazichunguziki.
Kwenye Uislamu kuna Aya inaeleza tuliumbwa kwa mataifa tofauti (rangi) ili tupate kujuana. Ila mbora wa wote ni yule anayemcha Mwenyezi Mungu.Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Mungu ni roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Kumekucha🤣🤣🤣Sisi Waafrika tulitoka kwa mtoto yupi ? Aliyelaaniwa kuwa mtumwa wa wenzake baada ya kumuona baba yake mlevi akiwa uchi ?