Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Wana sayansi nao ukiwauliza nini chanzo cha binadamu kuishi pamoja na wanyama wa kufungwa na kuwa na wanyama pori kuishi kivyao hawana jibu sahihi.Bora hata sayansi inaeleweka
Wana sayansi nao ukiwauliza nini chanzo cha binadamu kuishi pamoja na wanyama wa kufungwa na kuwa na wanyama pori kuishi kivyao hawana jibu sahihi.Bora hata sayansi inaeleweka
Qurani inasema rangi za binadamu wengine kuwa weusi(Waafrika), wazungu, Waarabu, Wachina, Wahindi, Wahindi wekundu n.k ilitokeaje ?يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ
Qur’an 49:13
Tafsiri kwa Kiswahili:
“Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni kuwa mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi miongoni mwenu mbele ya Allah ni yule mwenye kumcha Allah zaidi. Hakika Allah ni Mjuzi, Mwenye habari.”
Maana kubwa ya Aya hii ni kwamba Allah hakufanyi mtu kuwa bora kwa sababu ya taifa lake, kabila lake, lugha yake, utajiri wake, cheo chake au rangi ya ngozi yake. Wanadamu wote asili yao ni moja: wameumbwa kutokana na mwanamume na mwanamke.
Tofauti za mataifa na makabila ni kwa ajili ya kutambuana, si kwa ajili ya kujiona bora kuliko wengine.
Kipimo cha ubora mbele ya Allah ni taqwa—kumcha Allah, kumuamini, kumtii na kujiepusha na maasi.
Kwa hiyo, mtu mweupe si bora kwa sababu ya weupe wake, na mtu mweusi si duni kwa sababu ya weusi wake. Mwarabu si bora kwa kuwa Mwarabu, wala Mwafrika si bora kwa kuwa Mwafrika. Rangi na taifa si kipimo cha ubora mbele ya Allah; taqwa ndiyo kipimo.
Na mwisho wa Aya, Allah anasema: إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ — “Hakika Allah ni Mjuzi, Mwenye habari,” kwa sababu Yeye ndiye anayejua yaliyomo ndani ya nyoyo na anayejua kwa kweli nani mwenye taqwa zaidi.
Nilikukumbusha uandike ile mada ya nini chanzo cha binadamu kuishi na wanyama wa kufuga wakiwa tofauti na wanyama mwitu umekausha kama si wewe......😂😂😂
Hii ni kisayansi au kidini? Rejea swali la mtoa madaRangi, kimo, maumbile hubadilika kutokana na mgawanyiko wa kijiografia, hali ya hewa, nk. Mwili una adapt. Mfano sisi tuliopo ikweta jua na upepo [melanin] limebadili ngozi zetu kuwa nyeusi ili kujikinga na hali hiyo. Hata mzungu aliye zaliwa na kukulia afrika, generation yake mf 4Th haitakua sawa na yule aliyekulia ulaya etc
Mkuu, bado sinasahau, Leo jioni lazima niandike 😂Nilikukumbusha uandike ile mada ya nini chanzo cha binadamu kuishi na wanyama wa kufuga wakiwa tofauti na wanyama mwitu umekausha kama si wewe......😂😂😂
Ni natural order of things..Ongezea na hayo, leta majibu ya yote.
Kila kitu kiko wazi kwenye hili, huoni Simba wa porini siku hizi Anaishi na Watu?Wana sayansi nao ukiwauliza nini chanzo cha binadamu kuishi pamoja na wanyama wa kufungwa na kuwa na wanyama pori kuishi kivyao hawana jibu sahihi.
Si inalazimishwa tu, unadhani hata wale wanaofuga nyoka huwa hayawakuti ya kuwakuta? Hung'atwa sana tu na kufa kabisa.Kila kitu kiko wazi kwenye hili, huoni Simba wa porini siku hizi Anaishi na Watu?
Lakini on other side zimeleta utulivu duniani, bila hivyo violence ingekuwa kubwa sana duniani.Dini ni utapeli, tuzikatae tujikite kwenye humanitarian principles
Nililenga kumjibu aliyeuliza kwa nini afro american hawajabadilika. Dini inatofautisha jamii kwa kutumia maneno kama ''watu wa mataifa'' egHayo maelezo yanaelezewa na wanasayansi. Je, dini ina maelezo yapi katika eneo hilo?
Hakuna kitu kama hicho, vitu vyote vilikuwa programmed na nguvu yenyewe "Mungu" je kwanini pawepo na mpaka wa wewe kuishi katika sayari zingine, je migawanyiko ya oksijeni, carbon dioxide nazo hazikuwa programmed?Hii ni Sayansi nyepesi sana,
Domestication of animals.
Ungejua chanzo cha machafuko duniani ni hizi diniLakini on other side zimeleta utulivu duniani, bila hivyo violence ingekuwa kubwa sana duniani.
Ukijibiwa hapa ukaelewa vizuri nite bwanyenye el shahbaaab! Niko paleMbona blacks wa Marekani walioenda Marekani miaka mitatu iliyopita ambao hawajazaa na Wazungu hawabadiliki rangi bado ni weusi tii??