wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Ngoja nikanunue kunyagi nishushie huu utumbo wakoMungu ni roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Lengo la dini (Biblia) ni kumjua na kumwabudu Mungu. Dini haikuja kuzungumzia rangi za watu bali kumwabudu Mungu asiye na rangi; katika roho na kweli visivyo na rangi.
Hiyo "......sisi tumekuumbeni" mbona inamuongelea Mungu katika wingi na sio umoja km mnavyodai Waislam?Kwenye Uislamu kuna Aya inaeleza tuliumbwa kwa mataifa tofauti (rangi) ili tupate kujuana. Ila mbora wa wote ni yule anayemcha Mwenyezi Mungu.
Surah Al-Hujurat (49:13) inasema: "Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tukakufanya kuwa mataifa na makabila ili mjuane. Hakika mtukufu wenu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye uchamungu zaidi kuliko wote. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, mwenye habari."
Hahaha 😂, niliisoma hiyo habari sehemu fulani nikabaki nacheka.Hujawahi kusikia habari ya Ham,Shem na Japhet?
Hiyo habari ya binadamu walikuwa nyani umesikia au kusoma wapiMmesema wote tulikuwa nyani. Hao nyani waliobadirika kuwa binadamu walikuwa wapi, ulaya au Africa?
Dingi alichanganya gongo na balimo, yakamkuta makubwa.. Huenda alikua anafanya Strip teaseHahaha 😂, niliisoma hiyo habari sehemu fulani nikabaki nacheka.
Races ni matokeo ya mazingira binadamu wanayoishi na hayatokei kwa muda mfupi. Ni suala la muda muda mrefu sana, yaani adaptation na evolution. Hao afro american hawawezi kubadilika kwa muda mfupi waliokaa. BTW huoni kuwa sasa hivi wako tofauti kidogo na sisi tuliobaki huku?Mbona blacks wa Marekani walioenda Marekani miaka mitatu iliyopita ambao hawajazaa na Wazungu hawabadiliki rangi bado ni weusi tii??
Alitufanyaje kuwa mataifa na makabila ? Alitufanyaje kuwa Waafrika, wengine Waarabu, wengine Wazungu n.k??Kwenye Uislamu kuna Aya inaeleza tuliumbwa kwa mataifa tofauti (rangi) ili tupate kujuana. Ila mbora wa wote ni yule anayemcha Mwenyezi Mungu.
Surah Al-Hujurat (49:13) inasema: "Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tukakufanya kuwa mataifa na makabila ili mjuane. Hakika mtukufu wenu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye uchamungu zaidi kuliko wote. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, mwenye habari."
Inawezekana pia.Dingi alichanganya gongo na balimo, yakamkuta makubwa.. Huenda alikua anafanya Strip tease
Dini ni ya watu wavivu wa kufikiri na wanaogopa kutafuta majibu ya maswali magumu.Mungu ni roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Lengo la dini (Biblia) ni kumjua na kumwabudu Mungu. Dini haikuja kuzungumzia rangi za watu bali kumwabudu Mungu asiye na rangi; katika roho na kweli visivyo na rangi.
Ila dini ni ukatiri wa hali ya juu sana.. Hii rangi TUNAYOJISIFIA imetokana na laana kudadeki zetu!!!🤣🤣🤣Inawezekana pia.
Kuran ni photocopy ya Bibilia hususani vitabu vya Torati, wanajitia hamnazo kaumbiana kwamba Kuran ilishushwa kutoka mbinguniHiyo "......sisi tumekuumbeni" mbona inamuongelea Mungu katika wingi na sio umoja km mnavyodai Waislam?
Wehu haoDini ni ya watu wavivu wa kufikiri na wanaogopa kutafuta majibu ya maswali magumu.
Hata Evolutionary theory haisemi binadamu alikuwa nyani.Hiyo habari ya binadamu walikuwa nyani umesikia au kusoma wapi
Yeah, waafrika wote tukifa tunakwenda motoni tu, so hata tusipoteze muda wetu kusali.Ila dini ni ukatiri wa hali ya juu sana.. Hii rangi TUNAYOJISIFIA imetokana na laana kudadeki zetu!!!🤣🤣🤣
Hayo maelezo yanaelezewa na wanasayansi. Je, dini ina maelezo yapi katika eneo hilo?Races ni matokeo ya mazingira binadamu wanayoishi na hayatokei kwa muda mfupi. Ni suala la muda muda mrefu sana, yaani adaptation na evolution. Hao afro american hawawezi kubadilika kwa muda mfupi waliokaa. BTW huoni kuwa sasa hivi wako tofauti kidogo na sisi tuliobaki huku?
Pata konyagi kubwa popote ulipoYeah, waafrika wote tukifa tunakwenda motoni tu, so hata tusipoteze muda wetu kusali.
Tumeshalaaniwa.
HahahahaaaaDini ikifika hapo inaanza kuleta janja janja Kwa kusema akili za Mungu hazichunguziki.
Ok.Pata konyagi kubwa popote ulipo
Endelea kujifariji tu!Yeah, waafrika wote tukifa tunakwenda motoni tu, so hata tusipoteze muda wetu kusali.
Tumeshalaaniwa.